tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini Modern Taarab” mmekopa mifweza kupeleka wapi?"
View attachment 2419276
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!
CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.
It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
CC: MOTOCHINI, jingalao, @Ruttashobolwa, Lizaboni, TataMadiba, Ritz, FaizaFoxy, Simiyu Yetu, MwanaDiwani, Stroke imhotep Magonjwa Mtambuka Mgambilwa ni mntu Musiba