Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Umeona ulivyokua mpumbavu na bwabwa? Umesema Deni limefika tril 80, mm nimekurekebisha kuwa sio kweli. Deni lipo rril 70, umekuja na upumbavu gani sijui. Hata unachoandika hujui nini
Hujui kitu kinachotumika kupimia madeni ndio maana unatoa mapovu Kama nguruwe anayepandwa..

Rudi shule ujue vipimo vya Deni.
 
Wewe bwabwa mpumbavu mkubwa kabisa,Deni limetqjwa na serikali juzi hapa bungeni. Alafu ubataka kuleta uchoko wako hapa
Kwa hiyo Kama limetajwa na Serikali ndio Nini hasa? Hoja yako ni ipi? Kwani uliambiwa Deni lote Ni mikopo mipya?

Pumbavu huna akili kabisa,ndo kakopa Sasa unatakaje?
 
Weka sawa takwimu si unazo! Kwa hiyo wewe huoni serikali inavyokopa kama kichwa cha mwenda wazimu huku wakijificha kwenye kivuli ya wamu ta tano! Kubalini tu maji yamewafikia shingoni vichwa panzi nyie!
Kukopa Kama kichwa Cha Mwendawazimu ndio kukopaje huko?

Inakopa bila kulipa? Kama hukopesheki Nani atakukopesha? Kuna shida kukopa?
 
Kwa hiyo Kama limetajwa na Serikali ndio Nini hasa? Hoja yako ni ipi? Kwani uliambiwa Deni lote Ni mikopo mipya?

Pumbavu huna akili kabisa,ndo kakopa Sasa unatakaje?
Kwa hiyo ulitaka watu wasiseme kisa wewe umesha umeshajitoa ufahamu kutetea upumbavu wa serikali hii?
 
Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini Modern Taarab” mmekopa mifweza kupeleka wapi?"

View attachment 2419276

Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!

Aisee!
But

Huyu aliyeTweet kweli Tindiga yaani exchange rate ya USD ya mwaka 2005 kwa Tsh iwe sawa na ya mwaka 2015!!!
 
"Tutembeze bakuli ndio heshima, tukishakopa tunapiga makofi, sisi wa kukopa kila siku. Tukasema pitisha tozo anayetaka asiye taka pitisha tozo, lazima tuanze kujenga wenyewe, nani atatufanyia, yuko wapi huyo mjomba, tukapitisha"
 
Back
Top Bottom