Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

Sasa nikuulize anakopa nafanya nini cha maana! Anakopa akina na Makamba na Team msoga wanazila na kuzigawana kwa walamba asali!
Kukopa ukope na ufanyeambo ya kuonekana sio blahbhal za madarasa feki ya UVICO!
Na saizi ukienda kuyatazama hayo madarasa feki yana mashimo ya kutosha na kuta zake zimechururuka hazina hadhi!
Tuoneshe zilipoliwa kabla sijakujibu zinakoenda.
 
Kiko wapi ki Nini? Magufuli alisema hakopi ila alikopa Samia alisema nitakopa na kakopa shida iko wapi?
Lini Magufuli alisema hakopi? Magufuli alikopa na vitu vinaonekana kama hospital za kanda vituo vya afya,barabara ,madaraja ,ukaratati wa shule kongwe,ujenzi wa hostel,masoko,stand za mabasi poa mikopo ya eleimu ya juuilitolewabila rongorongo!
Hapakuwa na shida ya kukatika umeme Mara kwa mara kama sasa!
 
Mwenyewe anaona sawa
giphy.gif
 
Siyo wewe ulikuwa unabinuka binuka humu kwamba Magufuli ameifilisi nchi kwa mikopo na mama anaupiga mwingi?

Na bado hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa mavi nyie
Kwani uongo? Alikopa mikopo ya kibiashara ambayo imeiva na kukuza Deni..

Afu mlivyo wajinga ,Deni haliongezeki kwa mikopo mipya pekee Ni pamoja na mikopo iliyoiva ya zamani msiwe wapumbavu.
 
Lini Magufuli alisema hakopi? Magufuli alikopa na vitu vinaonekana kama hospital za kanda vituo vya afya,barabara ,madaraja ,ukaratati wa shule kongwe,ujenzi wa hostel,masoko,stand za mabasi poa mikopo ya eleimu ya juuilitolewabila rongorongo!
Hapakuwa na shida ya kukatika umeme Mara kwa mara kama sasa!
Wala vyakula havikupanda bei,
Vifaa vya ujenzi vilikuwa bei poa,
Maji yalikuwa bwerere,
Nauli hazikuwahi kuwa juu namna hii,
Tozo na makodi ya kijinga tumeyashuhudia awamu hii tu,
Hatujawahi kushudia maharage yakiuzwa kilo elfu 4,
 
Wewe kichwa maji huwa huna point siku zote ndo maana kila Siku huwa unaamini Mbeya ni mjini mkubwa mzuri na wenye maendeleo kuliko Mwanza! Kweli wewe hamnazo! Bichwa lako umelibeba tu linachosha misuli ya shingo!
Huna hoja ndio maana unarukaruka na kuchanganya mlenda na wali msukule wa Mwendazake wewe.
 
Mpaka kufikia 2025 kutakuwa na mikopo ya trilioni 50.
Naona unakwepa kuzungumzia hizo trilioni 20 alizokopa magufuli kwa miaka mitano.

Anyway kila siku nasema magufuli alikuwa dikteta na mpumbavu lakini Samia yeye ni totally incompetent.

Wote hawa hawakuwa/hawana akili za kuchochea uzalishaji na uwekezaji bali wamejikita kwenye upumbavu wa kujenga vitu badala ya kujenga uchumi.
 
Kwani uongo? Alikopa mikopo ya kibiashara ambayo imeiva na kukuza Deni..

Afu mlivyo wajinga ,Deni haliongezeki kwa mikopo mipya pekee Ni pamoja na mikopo iliyoiva ya zamani msiwe wapumbavu.
Usiwe taahira!

Umembiwa mama yako huyu kwa mwaka 1 na miezi 6 kakopa til. 20 huku mwenzie hela kama hiyo alikopa ndani ya miaka 6 bila kuweka matozo na makodi ya ajabu,

Bila mafuta kupanda wala bidhaa muhimu kupanda.
 
Usishindane na mwanamke kwenye suala la kukopa wenyewe huwa Wana mbinu nyingi za kulipa tofauti na sisi wanaume sisi wanaume maden yakituzidi huwa tunatoka nduki kusiko julikana ila wanawake wana mbinu zao na namna nyingi ya kulipa
 
Wewe unamatatzizo ya afya ya akili! Huwa hauwezi kutofautisha uchawa na mjadala makini usio husisha upambe! [QUOTE="The Sunk Cost Fallacy 2, post: 44342596Nini hiyo economically?
[/QUOTE]
 
Usiwe taahira!

Umembiwa mama yako huyu kwa mwaka 1 na miezi 6 kakopa til. 20 huku mwenzie hela kama hiyo alikopa ndani ya miaka 6 bila kuweka matozo na makodi ya ajabu,

Bila mafuta kupanda wala bidhaa muhimu kupanda.

Narudia kukupa shule Deni la nje haliongezeki kwa mikopo mipya pekee Bali na kwa riba pia..
 
Back
Top Bottom