Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
View attachment 2419276
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!
Hii inafikirisha Kwa sababu anakopa Sana lakini ni nchi inaendelea kuwa ovyo.Hii nayo ni habari?
Takwimu zake kazitoa wapi au anafanya uzushi usio na msingi?Martin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini Modern Taarab” mmekopa mifweza kupeleka wapi?"
View attachment 2419276
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!
Kwa hiyo kadanganya sio? Mama yenu akipihwa kwenye mshono mnapiga kelele wote! Hiyo hajui hata afanyalo anakopa kama mwendawazimu!Takwimu zake kazitoa wapi au anafanya uzushi usio na msingi?
Aweke takwimu kutoka BoT na Wizara sio kutunga ujinga ujinga..
Pili kwani kukopa Kuna shida ipi ikiwa zinakopwa na kurudishwa? Huko Mtaani kwenu hakuna taasisi za kukopesha?
Mwisho takwimu sahihi Hadi awamu ya 5 ni hizi hapa 👇
Kadanganya ndio aweke takwimu rasmi sio uzushi..Kwa hiyo kadanganya sio? Mama yenu akipihwa kwenye mshono mnapiga kelele wote! Hiyo hajui hata afanyalo anakopa kama mwendawazimu!
Walisema sana kuwa JPM anakopa sasa Samia hamtakiaambiwe ukweli! Anakopa huku hakuna la maana analofanya ulishajiuliza kwa mini mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu imekuwa adimu kama nyeti za kuku!
Kwa speed ya kichwa panzi Madelu yaani hana knowledge yeyote ya uchumi alikariri tu makaratasi chuoni akapata hiyo PhD uchwara!Mpaka kufikia 2025 kutakuwa na mikopo ya trilioni 50.
Mwigulu unamuonea tu!Kwa speed ya kichwa panzi Madelu yaani hana knowledge yeyote ya uchumi alikariri tu makaratasi chuoni akapata hiyo PhD uchwara!
Pole Sana Hadi sasa Tanzania Ina mikopo ya Til.80 Kama ulikuwa hujui..Mpaka kufikia 2025 kutakuwa na mikopo ya trilioni 50.
Sasa nikuulize anakopa nafanya nini cha maana! Anakopa akina na Makamba na Team msoga wanazila na kuzigawana kwa walamba asali!Kadanganya ndio aweke takwimu rasmi sio uzushi..
Afu shida sio kukopa na Wala kukopa hakujawahi kuwa tatizo na Rais Mwenyewe alitangaza hadharani atakopa kukamilisha miradi so Hakuna hoja hapo.