Kwani Kuna mradi Gani hapo ulikua umekamilika 100% kipindi JPM anafariki?
Mfano hata Samia kanunua ndege, anamalizia SGR, anamalizia Bwawa la Nyerere, kujenga vituo vya afya na majengo ya shule unaendelea, BRT inaendelea n.k so sidhani kama ni haki kulinganisha as if JPM alikamilisha hiyo miradi tayari kwa 100%
Hii Ina maana kama JPM angekua Bado hai angekopa pia Ili amalizie SGR, Bwawa, Mwendokasi, flyovers n.k