Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸšจHesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:-
..โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ

๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐— ๐—ฒ๐—ฟ๐—ธ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€ ๐——๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฟ๐—ผ๐˜†๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐—›๐—ฒ๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ตโ€ฆ

Hezbollah has announced the destruction of two more Israeli Merkava tanks.

๐—ฏ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ด ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐˜๐—ผ๐˜๐—ฎ๐—น ๐˜๐—ผ ๐Ÿฐ๐Ÿฌ ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ธ๐˜€ ๐—ฑ๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฟ๐—ผ๐˜†๐—ฒ๐—ฑ ๐—ถ๐—ป ๐—ท๐˜‚๐˜€๐˜ ๐Ÿญ ๐—บ๐—ผ๐—ป๐˜๐—ต.
 
Attachments

  • IMG_20241030_110519.jpg
    IMG_20241030_110519.jpg
    47.6 KB · Views: 3
Jewish Professor Norman Finkelstein anasema jeshi la Israel lipo vizuri kwenye anga hawana tofauti na wacheza game. Unabonyeza vitufe unashambulia. Lakini inapofika kwenye vita halisi kuonyesha uwanaume jeshi la Israel halina hao vidume na ndiyo maana kwao ground operation ni ngumu sana.
 
Infantry Machanise ya wanamgambo wa Israel ni mbovu hawajui kujiposition ndio maana vifaru vinalipuliwa kwa wingi๐Ÿ˜‚...kosa jingine kwa wanamgambo wa Israel wanapenda kujikusanya kama nyumbu wa masai mara. Makamanda wao wanaujinga wa kufolenisha wanamgambo wao kila wakati hiyo inawapa chance makomandoo wa Hamas na Hesbollah wa kuwatawanya kwa mlipuko
 
Attachments

  • IMG_20241030_111820.jpg
    IMG_20241030_111820.jpg
    60.6 KB · Views: 2
Hezbollah hawana vichwa wamebaki viwiliwili pamoja na maelfu kupelekwa jongomeo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Shuhudia ndafu inavyotengenezwa kwenye uwanja wa vita ๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Boommm๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ”ฅ

It was a very interesting sight to see an Israeli tank destroyed by a Hezbollah missile.
 
Attachments

  • Boommm_uD83C_uDDEE_uD83C_uDDF1_uD83D_uDD25_n_nIt_was_a_very_interesting_sight_to_see_an_Israel...mp4
    1.2 MB
Kuuliwa kwa makamanda wa juu kumeleta athari ipi ya moja kwa moja kwa hizbullah na kumeleta faida ipi kwa wazayuni
Huwezi kuona athari kwa sababu upo mbagala rangi tatu unapigwa na jua la utosini.

Hasara za kuuliwa makamanda wa juu.
1. Kupunguza Ufanisi wa Kiutendaji,
2. Kuathiri Ari na Morali ya Wanachama,

Faida kwa Wazayuni
1. Kupunguza Tishio la Kiusalama,
2. Wanapata Intelijensia Muhimu,
 
Shuhudia ndafu inavyotengenezwa kwenye uwanja wa vita ๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Boommm๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ”ฅ

It was a very interesting sight to see an Israeli tank destroyed by a Hezbollah missile.
Hilo sio jipya kwenye vita labda uje na lingine
 
Back
Top Bottom