Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Jewish Professor Norman Finkelstein anasema jeshi la Israel lipo vizuri kwenye anga hawana tofauti na wacheza game. Unabonyeza vitufe unashambulia. Lakini inapofika kwenye vita halisi kuonyesha uwanaume jeshi la Israel halina hao vidume na ndiyo maana kwao ground operation ni ngumu sana.
Hata kwenye anga hawapo vizuri we utaenda mlenga mtu mmoja kutumia 80 tons huo ni ujinga wa mwisho kabisa 😄
 
Ukisoma habari za pro arab wa JF ni kama hezbolah na Hamas ni kama wanashinda hii vita ila ukiangalia aljazeera ni kitu tofauti kabisa, Muda wote ni kilio kwa wayahudi kuwa wanafanya mauaji lebanon na gaza.

Tuwaombee hawa watu hii vita iishe haraka sana, watu wanakufa sana hapo gaza na lebanon, tunapaswa kupaza sauti ili hii vita ifike mwisho, kinachoendelea gaza na lebanon hakipaswi kushabikiwa hata kidogo.

Wanachofanya Israel hapo gaza na lebanon ni unyama and world must stand together kukemea haya mauaji.
 
Kila siku wanakula kichwa. Kazi sana. Msiojua vita, mnadhani vita ni maigizo. It is real. Ni kufa na kuzikana.
Anhaa kwa hiyo nyie wafuasi wa yule mjinga aliye muota Yesu kwenye njia panda ndio mnajua kifo, ndio mana mnaingia na suit kabisa kaburini 😄
 
Anhaa kwa hiyo nyie wafuasi wa yule mjinga aliye muota Yesu kwenye njia panda ndio mnajua kifo, ndio mana mnaingia na suit kabisa kaburini 😄

Wanakula vichwa kila siku. Bado mnajitutumua. Nasikia mmepeleka maombi Israel muanze vita vya ardhi🤣🤣🤣🤣
 
Wanakula vichwa kila siku. Bado mnajitutumua. Nasikia mmepeleka maombi Israel muanze vita vya ardhi🤣🤣🤣🤣
We hujakosea kujita tangawazi sababu umechangan"yikiwa una ongea bila fact.

Israel ndio anakimbia huko alijidai anaenda warudisha wanaume mpa mto Letani, na kuwarudisha watu wake walio kimbia North. Yote hayo mawili yame failed., alidhani Hezbullah ni kikosi cha 🎶 😄
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:-
..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️

𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵…

Hezbollah has announced the destruction of two more Israeli Merkava tanks.

𝗯𝗿𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗴 𝘁𝗵𝗲 𝘁𝗼𝘁𝗮𝗹 𝘁𝗼 𝟰𝟬 𝘁𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗱𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗶𝗻 𝗷𝘂𝘀𝘁 𝟭 𝗺𝗼𝗻𝘁𝗵.
Duuu janga wewe! baki hivyo hivyo ukikariri juzuu

View: https://youtu.be/dvGV_tHYd_4?si=a7yHtPJIOTMRDI4T
 
Back
Top Bottom