Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Wewe ulokua kismayo ndani ndani kule umeona morali ipi ilioshuka ambayo balozi wa marekani wa pale Beirut hajaiona kiasi kwamba anawaambia wa Lebanon waandamane kuwaondoa hizbullah sababu idf haitaweza wachafuzi uchwara wa jf mnajiona mnachambuuua
 
mwezi mzima vifaru 40 tu na uko vitani wajemeni? wako serious kweli hao?
sasa hapo ni wanapigwa au wanapiga? Halafu vita inapigwanwa wapi?๐Ÿ’
 
mwezi mzima vifaru 40 tu na uko vitani wajemeni? wako serious kweli hao?
sasa hapo ni wanapigwa au wanapiga? Halafu vita inapigwanwa wapi?๐Ÿ’
Unajua kifaru kimoja ndani kinakaa wanajeshi wangapi mkuu!?
Pia unajua gharama ya kifaru kimoja mkuu!?
Hapo ndani ya mwezi wamepotea askari wengi sana maana hivyo vifaru 90% vimepigwa anti tank missiles.
Na kifaru hakikosi chini ya askari wanne.
 
Sasa mbona Al-Jazeeraa inalalamika Israel inawaua Waarabu sana
 
Hio picha ni ya hamas kuaribu vifaru . Sio Hezbollah
 
Kuelimishwa huyo mwanamgambo
Akatizame kwanini vita huwa inarudisha nyuma kiuchumi.
Kwanza gharama ya hiko kifaru kimoja ni mtiti.
Pili hao wanajeshi waliokufa watakua wengi,maana anti tank missile ikipiga kifaru hakuna aliye ndani atabaki salama.
Fanya tu ni vifaru 30 ndio viliungua vingine vimeharibika kikawaida.
Pia nne mara 30 unapata askari wangapi.
Ndio utakuja kugundua Israel imepoteza askari wengi sana ila tunafichwa habari.
 
Basi Hezbollah wanashinda. Washikilie hapohapo
 
Hawa magaidi wa Israel,madhali walimuua Yesu,na wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,watapata tabu sana,duniani na mbinguni.Yesu alikuja kuwakomboa,wakamuua.
 
Unajua kifaru kimoja ndani kinakaa wanajeshi wangapi mkuu!?
Pia unajua gharama ya kifaru kimoja mkuu!?
Hapo ndani ya mwezi wamepotea askari wengi sana maana hivyo vifaru 90% vimepigwa anti tank missiles.
Na kifaru hakikosi chini ya askari wanne.
mbona hukuelezea kinagaubaga udadi ya watu waliokuako ndani kwenye hivyo vifaru vunavyobeba watu?

no muhimu zaid ukaeleza gharama ya kifaru kimoja kwa anae kitegeneza na kukutumia ?

lakini hao Hezbollah mbona hawatoi idadi ya waliokufa badala yake wamatoa idadi ya vifaru walivyoharibu tu, wana uhakika kweli na hata na hivyo vifaru au wana buni buni tu
 
Wao wameona vifaru walivyopiga kwasababu ndio vitu ambavyo tangible wameviona.
Ila kuhusu idadi ya askari huwezi ukataja ilhali hujui wanakaa askari wangapi katika kila kifaru exactly.
Kimoja wanaweza kukaa wanne,kingine watano ama kingine watatu.
Je utatoa idadi kamili ya askari kwa namna ipi mkuu!?
Gharama ya Merkava tank moja ni dola milioni 3 sawa na zaidi ya bilioni 7 za kitanzania.
 
Ila Israel katandika watu sio mchezo. Wamebakia kurusha vidrone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ