Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Hezbollah kweli wanaume ILA mbona wanakimbia hadi silaha zinaokotwa na IDF kwenye bunker???
Naona IDF ndo wana nguvu ndio maana wamewafata hadi Lebanon.
 
Lebanon haitoshi kuwa na kambi 150,ni nchi ndogo sana, tanzania nchi kubwa na sidhani kama ina kambi 150,muwe mnachuja mambo na kujua facts kidogo
Wanavyo hivyo vichwa vyakuchujia mambo bora hata chujio laweza chuja majambo
 
Na hao magaidi waliokuwemo hapo ndani wanatengenezwa hapo hapo teli avivu au nyuu yoki
Uhai wa Mwanadamu ukishatoka haurudi ila so far hii Vita inakula kwa Mwarabu.43000+ na Lebanon ni karibia 4000.
 
Uhai wa Mwanadamu ukishatoka haurudi ila so far hii Vita inakula kwa Mwarabu.43000+ na Lebanon ni karibia 4000.
Sasa hata hao waarabu uhai wao hautarudi wanaendeleza kutoa dozi kwa mzayuni mwizi
 
Sasa hata hao waarabu uhai wao hautarudi wanaendeleza kutoa dozi kwa mzayuni mwizi
Hii Vita inakula kwa Mwarabu tokea leo Asubuhi Waarabu 200 wameuwawa.

Na wakijifanya kushupaza shingo watakufa wengi kweli kweli.

Netanyahu kasema warudishe mateka wa Israel halafu waache vita waweke Silaha chini.
 
Photo: Courtesy of Photoshop.
Ukiona mtu anatoa mada halafu tena yeye huyo huyo ndio mchangiaji ujue hiyo taarifa imetoka masjid ubwabwa na inasukumwa na hisia za kidini hivyo ni ya kupuuzwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ