Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

Hata kwenye anga hawapo vizuri we utaenda mlenga mtu mmoja kutumia 80 tons huo ni ujinga wa mwisho kabisa ๐Ÿ˜„
 
Ukisoma habari za pro arab wa JF ni kama hezbolah na Hamas ni kama wanashinda hii vita ila ukiangalia aljazeera ni kitu tofauti kabisa, Muda wote ni kilio kwa wayahudi kuwa wanafanya mauaji lebanon na gaza.

Tuwaombee hawa watu hii vita iishe haraka sana, watu wanakufa sana hapo gaza na lebanon, tunapaswa kupaza sauti ili hii vita ifike mwisho, kinachoendelea gaza na lebanon hakipaswi kushabikiwa hata kidogo.

Wanachofanya Israel hapo gaza na lebanon ni unyama and world must stand together kukemea haya mauaji.
 
Kila siku wanakula kichwa. Kazi sana. Msiojua vita, mnadhani vita ni maigizo. It is real. Ni kufa na kuzikana.
Anhaa kwa hiyo nyie wafuasi wa yule mjinga aliye muota Yesu kwenye njia panda ndio mnajua kifo, ndio mana mnaingia na suit kabisa kaburini ๐Ÿ˜„
 
Anhaa kwa hiyo nyie wafuasi wa yule mjinga aliye muota Yesu kwenye njia panda ndio mnajua kifo, ndio mana mnaingia na suit kabisa kaburini ๐Ÿ˜„

Wanakula vichwa kila siku. Bado mnajitutumua. Nasikia mmepeleka maombi Israel muanze vita vya ardhi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wanakula vichwa kila siku. Bado mnajitutumua. Nasikia mmepeleka maombi Israel muanze vita vya ardhi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
We hujakosea kujita tangawazi sababu umechangan"yikiwa una ongea bila fact.

Israel ndio anakimbia huko alijidai anaenda warudisha wanaume mpa mto Letani, na kuwarudisha watu wake walio kimbia North. Yote hayo mawili yame failed., alidhani Hezbullah ni kikosi cha ๐ŸŽถ ๐Ÿ˜„
 
Duuu janga wewe! baki hivyo hivyo ukikariri juzuu

View: https://youtu.be/dvGV_tHYd_4?si=a7yHtPJIOTMRDI4T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ