Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

Anzisha cha kwako ili kifanye vizuri kuliko hivi vya sasa .

Odhis *
 
Kww
Mungu siyo Amsterdam wala Lisu
Kwa kifupi na kwamba Sasa hivi Jiwe hayupo kabisa
Sio kwamba kasafiri,
Sio kwamba kapumzika CHATO,
Sio kwamba anaumwa,
Sio kwamba Yuko likizo,
Yaani Ni kwamba Jiwe hayupo kabisa katika uso wa dunia,na hiyo ndio furaha ya Watanzania,mama Ni nyongeza tu ya furaha yao.
Jiwe hayupo aisee.
Yaani siamini,na wewe najua huamini,laakini
Jiwe hayupo.
 
Mama atoe kauli ZILIZOSHIBA, tume ya kurudisha umoja wetu umeparaganyika sana.
Lissu alipwe haki zake zote.
Kufuta masheria yote ya ovyo.
Kuunda tume kuchunguza MAUJI, kutekwa kwa watu na Shambulio la LISSU.

Tumeishi na Serikali ya propaganda na yeye akiwemo ndani yake kwa miaka 6.
Kuendeleza propaganda zile zile, huku akiamini anafanya vyema, ni kujidharirisha na kukosa maarifa.

Au kama anaona sifa ya mwanamke kiongozi ni kupuyanga kwa maneno mengi bila kutekeleza, aendelee tu.
 
Sasa hivi katika Nchi ambazo wananchi wake wanaishi kwa furaha na Tanzania imo
 
Amina
 
Wewe kwa naoni yako ulitaka Wapinzani wafanye nn Mkuu?? Kwanza watu watoke kwenye gereza la fikra wawe huru. Uhuru wa kutoa na kuhoji mawazo ukishakuwepo basi suala au mchakato wa kuidai Katiba mpya utafuata. Kila jambo na wakati wake.
 
Point[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Sheria za Magufuli zimefutwa lini?Unaelewa kuwa sheria gandamizi za Magufuli zilitungwa na bunge na haziwi kufutika ni mpaka zifutwe na bunge?
Mkuu Mimi tayari nimekuelewa,na una hoja zenye mashiko.
Ila kwa Sasa naendelea kufurahia kutokuwepo kwa Raisi katili kabisa kuwahi Kutokea katika historia ya nchi yetu yenye upendo na amani.
Na ninadhani hili ndio furaha ya wengi.
Jiwe hayupo bana.Tuliishi kwa hofu aisee,alifanya Mambo ya kukera watu kwa makusudi.
 
Na Nashawishika na hoja zenu,wewe,Bihaviorist na wengine.
Watu wamefurahi kutokuwepo kwa Jiwe Hadi wanapokea Kila ahadi bila kutafakari.
 
Mpe muda. Ndiyo kwanza ameanza. Anaunda safu na alisema atatembelea sekta kwa sekta na huko nina imani atatoa maelekezo ya kina. Tusubiri Mkuu.
 

Nchi inaendeshwa na katiba. Lipa Kodi. Fanya Kazi. Hutapata Shida wala hutataka hata sababu ya kujua Rais kaamkaje. Mengine Ni ushabiki maandazi na kukosa Kazi.

Umepatia tu pale maneno matamu hayajengi nchi. Watanzania walishasikia maneno Bora na matamu toka lwa nyerere. Sasa Ni Kazi tu. Watanzania wengi wenye maneno kila siku mko mtandaoni, Sijui bundle mnatoa wapi. Amkeni fanyeni kazi. Ukiona barabara mbovu nk. Afya ndo unaweza kukumbuka na kuuliza Hivi Nani mkurugenzi. Nani mkuu wa Wilaya nk. Otherwise nobody cares so long as tuna Amani binafsi na majambazi hawana pa kukimbilia. Ndo mana i will always be proud of having a president by the name of JPM. Police wanafanya Kazi Lakini huwa wanaangalia kama Kiongozi wa juu Yuko serious ama legelege.

Unajua Kwanini mnasifia sana Sasa, Ni kwa kuwa bado mnataka JPM azungumziwe. All the best my Madam President Lead us.
 
Alafu hii corona ni kama gonjwa la ki freemason fulani kwa nini wanaokufa ni viongozi tuu wa serikali nawa dini fulani tuu kuwa siri gani hapo.
Hahahaa kwamba waislam hawafi,wamekufa sana sema viongozi wengi wa kiislam sio maaruf sana halafu akifa asubuhi wanazika jioni, alikufa SHARIF HAMAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…