Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Nakwama kwa lipi?Jenga hoja.Jamaa yetu Behaviourist anakwama sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwama kwa lipi?Jenga hoja.Jamaa yetu Behaviourist anakwama sana
Anzisha cha kwako ili kifanye vizuri kuliko hivi vya sasa .Mkiamka ndotoni siku moja ndio mtajua hii furaha ya leo ni upepo tu utakaopita, watu wana mihemko sana.
Inashangaza sana kuona watu wanachanganywa akili na maneno tu, nasoma mpaka comment za viongozi wa upinzani naona wanaandika mambo ya kushangaza kabisa, never thought kama tuna wapinzani vichwa vyepesi namna hii.
Hawa wanachotaka ni kuendelea na mambo yao tu, wafanye biashara zao kwa amani baada ya kujichumia kupitia migongo ya "wapiga kura", yaani nasoma comments zote sijaona hata mmoja aliekumbuka Katiba Mpya leo, wote wanashangilia maneno ya mwenyekiti wa CCM, kumbe wanaishi kwa kudra za mwenyekiti wa CCM! ajabu sana.
Niwakumbushe tu, hata Kikwete nae alikuwa na maneno matamu kama haya ya leo. Watanzania tusipoamka badala yake tuendelee kuvitegemea hivi "vyama vya upinzani" tumeliwa.
Ishi vizuri na watu usijekuondoka duniani ukiwa hahuhitajiki kama Magufuli!😄😄😄Magufuli alitutukania sana Mama zetu,dada zetu pamoja na mashangazi zetu.Huyu chura ana matatizo sana [emoji848]
Mungu siyo Amsterdam wala LisuMungu aliwaonea huruma watu wake akaona huyu jiwe akiendelea hali itakuwa mbaya zaidi ndo maana akaona bora amchukue ili Watanzania wapumue.
Watu walimlilia sana MUNGU nikiwemo na mimi hatimaye yametimia.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Na ninafikiri watu wanafurahi zaidi sio tu Mambo anayofanya Mama,Bali Ni kutokuwepo kwa Jiwe kabisa hapa duniani.Bora ya mama kuliko Jiwe Mara elfu, Mimi mwenyewe Nina furaha, tumpe mda
Kwa kifupi na kwamba Sasa hivi Jiwe hayupo kabisaMungu siyo Amsterdam wala Lisu
Mama atoe kauli ZILIZOSHIBA, tume ya kurudisha umoja wetu umeparaganyika sana.Ni kawaida wanasiasa kupumbaza wananchi kwa maneno matamu.Hata madikteta hufanya hivyo.Hata Hitler alipumbaza watu kwa maneno matamu sana hadi wananchi wakampa kibali cha kuwa waziri mkuu ila baadae aliwabadilikia.Nchi huongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu.Mimi nitamuamini Mama tu kama ataenda kufuta sheria zote kandamizi ambazo alitengeneza yeye pamoja na Magufuli.
AminaNdani ya siku 18 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara HAPANA, siyo kwamba ameajiri HAPANA, siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani HAPANA
bali ni MATAMSHI yake tu kama Kiongozi Mkuu wa nchi yanaendelea kuliponya taifa bila sindano wala vidonge.
Kwenye utawala uliopita taifa liligawanyika vipande vipande, taifa liliumizwa na hata yeye alijua ndiyo maana ameanza kwa kuliponya taifa kwa maneno yake kabla ya vitendo.
Nadhani mama huyu hahitaji kuomba aombewe bali sisi kama taifa kwa imani zetu bila kujali kipato, nafasi/cheo, kanda, kabila ama jinsia tuanze kumwombea afya njema, hekima, busara na nidhamu asiingiwe na kiburi huko mbeleni.
Mafisadi pia mkae mbali na mama, Wanasiasa vigeugeu mkae mbali na mama huyu, Viongozi wa dini vigeugeu mkae mbali na mama huyu, Watendaji wa serikali vigeugeu mkae mbali na mama huyu, Wajinga wajinga mkae mbali na mama huyu, Waandishi wa habari vigeugeu mkae mbali na mama huyu, Matapeli wala rushwa mkae mbali na mama huyu
Hatufurahi kupitiliza ila angalau ukikutana watanzia watano, watatu kama sio wanne wanalotabasamu utasikia mama ....oohh mama ni mtu na nusu .
Mungu Mbariki Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan
Mungu atubariki Watanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe kwa naoni yako ulitaka Wapinzani wafanye nn Mkuu?? Kwanza watu watoke kwenye gereza la fikra wawe huru. Uhuru wa kutoa na kuhoji mawazo ukishakuwepo basi suala au mchakato wa kuidai Katiba mpya utafuata. Kila jambo na wakati wake.Mkiamka ndotoni siku moja ndio mtajua hii furaha ya leo ni upepo tu utakaopita, watu wana mihemko sana.
Inashangaza sana kuona watu wanachanganywa akili na maneno tu, nasoma mpaka comment za viongozi wa upinzani naona wanaandika mambo ya kushangaza kabisa, never thought kama tuna wapinzani vichwa vyepesi namna hii.
Hawa wanachotaka ni kuendelea na mambo yao tu, wafanye biashara zao kwa amani baada ya kujichumia kupitia migongo ya "wapiga kura", yaani nasoma comments zote sijaona hata mmoja aliekumbuka Katiba Mpya leo, wote wanashangilia maneno ya mwenyekiti wa CCM, kumbe wanaishi kwa kudra za mwenyekiti wa CCM! ajabu sana.
Niwakumbushe tu, hata Kikwete nae alikuwa na maneno matamu kama haya ya leo. Watanzania tusipoamka badala yake tuendelee kuvitegemea hivi "vyama vya upinzani" tumeliwa.
Point[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Unavyosema maneno tu unakosea
1. Ameongelea sana kuongeza uwekezaji haya sio maneno tu ni mipango
2. Kachagua makamu mzuri
3. Kaanza kushughulikia Corona
4. Kushughulikia mambo ya muungano
5. Kuchagua waziri mpya wa mambo ya nje
6. Kutoa wanasiasa na kuweka wafanyakazi wenye uwezo mfano kubadili katibu mkuu wa nchi
7. Kubadilisha mifumo ili isitegemea watu tumeona Raisi kafariki! mifumo imara ni mizuri
8. Uhuru zaidi wa vyombo vya habari
9. Kupunguza uhasama na wapinzani
Mkuu Mimi tayari nimekuelewa,na una hoja zenye mashiko.Sheria za Magufuli zimefutwa lini?Unaelewa kuwa sheria gandamizi za Magufuli zilitungwa na bunge na haziwi kufutika ni mpaka zifutwe na bunge?
Nashawishika na hoja zenu,wewe,Bihaviorist na wengine.Mama atoe kauli ZILIZOSHIBA, tume ya kurudisha umoja wetu umeparaganyika sana.
Lissu alipwe haki zake zote.
Kufuta masheria yote ya ovyo.
Kuunda tume kuchunguza MAUJI, kutekwa kwa watu na Shambulio la LISSU.
Tumeishi na Serikali ya propaganda na yeye akiwemo ndani yake kwa miaka 6.
Kuendeleza propaganda zile zile, huku akiamini anafanya vyema, ni kujidharirisha na kukosa maarifa.
Au kama anaona sifa ya mwanamke kiongozi ni kupuyanga kwa maneno mengi bila kutekeleza, aendelee tu.
Fundi mzuri mno. Yaani ni fundi aliyesomea kwa viwango vyake. Acha aitwe MunguMungu fundi.
Mpe muda. Ndiyo kwanza ameanza. Anaunda safu na alisema atatembelea sekta kwa sekta na huko nina imani atatoa maelekezo ya kina. Tusubiri Mkuu.Taifa limejawa na furaha kwa sababu ni taifa la majuha.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kumsifia Mama au kufikiri kuwa Mama ana nia njema na Tanzania kwa sababu bado anaongoza nchi kwa kutumia zile zile sheria kandamizi za Magufuli.
Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na ahadi za matumaini.Kuongoza nchi kwa maneno matamu na ahadi za matumaini wakati sheria ni mbovu na kandamizi hilo huwa ni changa la macho.Mama atakuwa na nia njema na Tanzania if and only if atafuta zile sheria kandamizi za Magufuli na kutunga sheria zinazoleta haki,usawa na ukuaji sahihi wa uchumi.
Taifa limejawa na furaha kwa sababu ni taifa la majuha.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kumsifia Mama au kufikiri kuwa Mama ana nia njema na Tanzania kwa sababu bado anaongoza nchi kwa kutumia zile zile sheria kandamizi za Magufuli.
Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na ahadi za matumaini.Kuongoza nchi kwa maneno matamu na ahadi za matumaini wakati sheria ni mbovu na kandamizi hilo huwa ni changa la macho.Mama atakuwa na nia njema na Tanzania if and only if atafuta zile sheria kandamizi za Magufuli na kutunga sheria zinazoleta haki,usawa na ukuaji sahihi wa uchumi.
Furaha sio vitu kupanga bei, furaha ni hitaji la moyo,ndoo maana tafuta wimbo wa msondo ngoma "mapenzi kizungumkuti" utapata maana ya furaha.Huku mafuta ya kupikia sh 6000 lita 1 sukari kg 1 3000 Furaha inatoka wapi?
Sio kweli.Wanaofurahia ni wale wapigaji na wenye akili za kuku.
Mwendazake ni kama ameenda na mafua yakeYaan mafua na kifua cha safari hii ni sugu utatumia dawa weeeeeee lakini wapi hasa kwa watoto
Hahahaa kwamba waislam hawafi,wamekufa sana sema viongozi wengi wa kiislam sio maaruf sana halafu akifa asubuhi wanazika jioni, alikufa SHARIF HAMADAlafu hii corona ni kama gonjwa la ki freemason fulani kwa nini wanaokufa ni viongozi tuu wa serikali nawa dini fulani tuu kuwa siri gani hapo.