Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

Mama yetu kipenzi sio Hitler na wala hatakuwa Hitler
 
Mimi namlaumu sana Mama na sikubaliani nae kwa maneno yake matamu na kwa matumaini yake kwa sababu Taifa huwa linaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa mujibu wa maneno matamu.Yeye leo alipaswa atoe ahadi kuwa atafuta sheria zote kandamizi ambazo alitunga yeye pamoja na magufuli ila hakufanya hivyo.Hilo ndilo ambalo lingetupa matumaini.

Maneno yake matamu na matumaini yake aliyotupa hayana faida yoyote kwetu kwa sababu siku zote maneno matamu huwa ni mtaji wa wanasiasa katika kuhadaa watu ili watimize malengo yao mabaya.Hata Hitler aliwapa maneno matamu wananchi wa Ujerumani pamoja na matumaini makubwa hadi wajerumani wakamuamini na kumpa uwaziri mkuu kisha akaanza kuwachinja kama Kuku.

Quote
 
Yaaan katika kila komenti zako tu ndo zina maono kwa taifa. Nimegundua watanzania wengi hatujui nn kinatakiwa ili inchi isonge. Tumesahau hotuba ya hayati 2015. Baadae hao hao wakaanza kumsema vibaya.
Tuwe na akiba ya mapambio.
 
Ni furahaa moyooooni mweetuuuuu!!!!

Hajatupatia hela, hajaajiri lkn neno la uzima litokalo kinywani mwake limetupa nguvu ya kuishi tena.


Waaaaaaapiiiii maliemuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Expire date ishafika wacha tufanye yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Usiforce tufanane

We fikiri ujinga mi niende na Bi mkubwa.

Utalainika mwenyewe muda ukifika.

Mapomole wengi wanahisi kuandika kama hivo ni akili kumbe hamna lolote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajidanganya tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Askofu Rashid akaee mbali Kabsaa na mama yetu
 
Hapo ndo ujue watu hawana jema
Hata usiangaike mkuu...wa hivyo hakuna kitakachomridhisha hata umbebe na mbeleko
 
ameen
 

Storm is over now.

 
Yes bado mama Samia ni CCM
Haibadilishi hilo...

Shirikiana na wana CCM kumshangilia mama...

Hadithi zako ndefu sikufanikiwa kuzisoma boss[emoji16]
 
Asante Sana Mkuu.
 
Mdogo mdogo tutaweka mambo sawa.

Ulitaka apeleke Bungeni miswaada na marekebisho ya sheria kwa hati za dharura kama yule Mwendazake?
 
Wanaofurahia ni wale wapigaji na wenye akili za kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…