😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy

Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july

Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama government levy baada ya kutoa hiyo pesa

Hii ni too much, huu ni wizi na hujuma dhidi yetu wananchi

Tuamke jamani. Kuna siku tutastuka mwenye account zetu hamna chochote, na hatutakua na popote pa kwenda kushitaki

Bora nichimbe shimo tu hapa niwe nahifadhi huku

😡😡😡
 
Nilitoka milion 100 nikakatwa karibia laki nikaona ujinga kuanzia hapo sijaweka tena hela NMB karibia miez 6 sasa kwanza unateseka foleni kwenda kuweka unateseka folen kwenda kutoa bado unakatwa nimetaka kukopa mkopo wa ununuzi wa nyumba ya milion 60 wananiambia et account haina mzunguko sababu siiweke hela wala kutoa kwahiyo walitaka wanipige dabble yaani nizungeshe hela weka toa weka toa ili wanikate mihela ya kutosha then wanilime riba kwenye kukopa manunuzi ya nyumba ukijumlisha hapa [emoji23] riba yake hata shetani hakubari
 
Serikali ya Tanzania na Benki za Bongo kama NMB ni Hovyo kabisa

Tokeni kwenye hizi Benki, bora uhamie Kikoba, na km mshahara unapitia huko, ukiingia tu katoe wote muda huohuo

NMB, CRDB na Benki zingine zinawaibia wateja pesa zao. Sijui lini mtaelewa.
 
Yule jamaa alitaka matajiri waishi kama mashetani, huyu yeye kwa kushindwa kwake kukusanya kodi zilizokwisha idhinishwa kisheria anahakikisha masikini wanaishi kama mashetani.
Akusanye kwenye maiti,watu masikini wasio zalisha wanatoa wapi kodi
 
Back
Top Bottom