😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

Mkuu ilo nalifahamu!Mantiki ya swali langu ni kuwa niliwahi sikia kule makato yalikuwa wakati wa kutoa pesa Tena ilikuwa kidogo ndio maana nimeuliza,Kama wanendelea na huo utaratibu basi kutakuwa na unafuu kuliko hao NMB na CRDB.
Inategemea na aina ya akaunti.

Kuna akaunti hazina makato au huwa na makato madogo wakati wa kutoa.

Ila tozo rates zake banks zote zinalingana
 
Maumivu niliyooo nayo achaa tu.mi machinga nikashawishiwa na crdb acc haina makato ya mwezi.na inaazia 3000 kufungua.....basi nikapata ka pesa nikaweka 30000 juzi nataka niongezee nikachukue hata ka mzigo nakuta helaa imebaki 14000 dah nilitaka kulia.sitakaa niweke hela benk Bora niweke nyumbani au kwenye cm
 
Daa jamani bora kuweka kibubu nyumbani
 
Maumivu niliyooo nayo achaa tu.mi machinga nikashawishiwa na crdb acc haina makato ya mwezi.na inaazia 3000 kufungua.....basi nikapata ka pesa nikaweka 30000 juzi nataka niongezee nikachukue hata ka mzigo nakuta helaa imebaki 14000 dah nilitaka kulia.sitakaa niweke hela benk Bora niweke nyumbani au kwenye cm
Pole sana mkuu.
 
Hata yeye enzi zake aliwatesa sana watumishi wa umma, wapinzani wake kisiasa, na wafanyabiashara wakubwa.

Na huyu mtawala wa sasa, ameamua kuwanyoosha wananchi wote wa kipato cha chini na cha kati! Hivyo wote ni hovyo tu.
unajua idadi ya watu wa kipato cha kati na cha chini hapa tanzania ni zaidi ya 90% au unaamua tu kujamba stand???
 
Back
Top Bottom