Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,935
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy
Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july
Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama government levy baada ya kutoa hiyo pesa
Hii ni too much, huu ni wizi na hujuma dhidi yetu wananchi
Tuamke jamani. Kuna siku tutastuka mwenye account zetu hamna chochote, na hatutakua na popote pa kwenda kushitaki
Bora nichimbe shimo tu hapa niwe nahifadhi huku
😡😡😡