Mkuu ilo nalifahamu!Mantiki ya swali langu ni kuwa niliwahi sikia kule makato yalikuwa wakati wa kutoa pesa Tena ilikuwa kidogo ndio maana nimeuliza,Kama wanendelea na huo utaratibu basi kutakuwa na unafuu kuliko hao NMB na CRDB.Tozo ni kwa banks zzo
Inategemea na aina ya akaunti.Mkuu ilo nalifahamu!Mantiki ya swali langu ni kuwa niliwahi sikia kule makato yalikuwa wakati wa kutoa pesa Tena ilikuwa kidogo ndio maana nimeuliza,Kama wanendelea na huo utaratibu basi kutakuwa na unafuu kuliko hao NMB na CRDB.
Kama Account ipi?Mkuu Niko serious nataka kuhamishia fedha huko.Inategemea na aina ya akaunti.
Kuna akaunti hazina makato au huwa na makato madogo wakati wa kutoa.
Ila tozo rates zake banks zote zinalingana
Ni lameckHuyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Ni girl friend wa Madilu[emoji23][emoji23][emoji23] We staff wa NMB kwani?
Aliyekwambia mjinga huwa anadanganywa ni nani? Mtu hupewa ushauri kukingana na cc za ubongo wake, Honda CC 110 unampa uhauri wa Kawasaki CC 3000 wapi na wapi?Huyu mama akina Mwigulu wanamdanganya na yeye anawakubalia kibubusa tu.
Nchi inamshinda kwa kasi ya ajabu
Daa jamani bora kuweka kibubu nyumbaniMaumivu niliyooo nayo achaa tu.mi machinga nikashawishiwa na crdb acc haina makato ya mwezi.na inaazia 3000 kufungua.....basi nikapata ka pesa nikaweka 30000 juzi nataka niongezee nikachukue hata ka mzigo nakuta helaa imebaki 14000 dah nilitaka kulia.sitakaa niweke hela benk Bora niweke nyumbani au kwenye cm
Pole sana mkuu.Maumivu niliyooo nayo achaa tu.mi machinga nikashawishiwa na crdb acc haina makato ya mwezi.na inaazia 3000 kufungua.....basi nikapata ka pesa nikaweka 30000 juzi nataka niongezee nikachukue hata ka mzigo nakuta helaa imebaki 14000 dah nilitaka kulia.sitakaa niweke hela benk Bora niweke nyumbani au kwenye cm
Usipopiga kura atarudi madarakani π . Kura zetu ni muhimu sana.Huyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Pmj na watu kusema magu full Ni muhuni Ila hakuwahi kuwa katili Kia's hiki dhid ya wantingMagufuli alisema mtanikumbuka.
Hii siyo Kodi ni tozoLipa kodi Acha kulalamika
unajua idadi ya watu wa kipato cha kati na cha chini hapa tanzania ni zaidi ya 90% au unaamua tu kujamba stand???Hata yeye enzi zake aliwatesa sana watumishi wa umma, wapinzani wake kisiasa, na wafanyabiashara wakubwa.
Na huyu mtawala wa sasa, ameamua kuwanyoosha wananchi wote wa kipato cha chini na cha kati! Hivyo wote ni hovyo tu.
Kama equity ya Burundi hamia tu ila kama iko +255 kipigo kiko pale paleMlioko Equity vipi? Nataka kuhamia huko.
Yataiba kura mkuuUsipopiga kura atarudi madarakani π . Kura zetu ni muhimu sana.