😑 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

Ccm Jamani Mpaka Lini
Viongozi Wanakula Kodi, Serikali Inawahudumia Hawaoni, Hawasikii
 
Mimi wamekata elfu 5 bila transaction yoyote...ni balaa
 
Mkuu ilo nalifahamu!Mantiki ya swali langu ni kuwa niliwahi sikia kule makato yalikuwa wakati wa kutoa pesa Tena ilikuwa kidogo ndio maana nimeuliza,Kama wanendelea na huo utaratibu basi kutakuwa na unafuu kuliko hao NMB na CRDB.
NBC makato ni yaani sh. 128 kama tozo ya serikali
 
Kuna swali kwenye sensa linakuhitaji useme unamiliki viwanja vingapi mashamba mangapi na thamani yake na ulivipataje yaani tukishajua tunaanza kudai kodi yetu
 
Na Hili Nalo mwende mkalitizame.
 
Huyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Ile mikopo wanayopewa Zanzibar unafikiri wale wala urojo wanalipa wale? Ni sisi ndio tunakamuliwa hivi tukalipe mikopo waliyopewa wale wala urojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…