Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kugoma kuhesabiwa ni kosa, unaweza kufungwa jela kwa miaka miwili 🐒Huyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kugoma kuhesabiwa ni kosa, unaweza kufungwa jela kwa miaka miwili 🐒Huyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Namuona waziri wa mipango ya Tozo kwa kila raiaKugoma kuhesabiwa ni kosa, unaweza kufungwa jela kwa miaka miwili 🐒View attachment 2330440
Wanifunge tuKugoma kuhesabiwa ni kosa, unaweza kufungwa jela kwa miaka miwili 🐒View attachment 2330440
Huu upumbavu nlishakataa kamwe sifanyiHuyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Dawa ni kuficha hela ndan tuuDuuuh bank imekuwa nako shida
Mimi wamekata elfu 5 bila transaction yoyote...ni balaaRoho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy
Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july
Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama government levy baada ya kutoa hiyo pesa
Hii ni too much, huu ni wizi na hujuma dhidi yetu wananchi
Tuamke jamani. Kuna siku tutastuka mwenye account zetu hamna chochote, na hatutakua na popote pa kwenda kushitaki
Bora nichimbe shimo tu hapa niwe nahifadhi huku
[emoji35][emoji35][emoji35]
Achana na Bank watakuibia tuuMlioko Equity vipi? Nataka kuhamia huko.
NBC makato ni yaani sh. 128 kama tozo ya serikaliMkuu ilo nalifahamu!Mantiki ya swali langu ni kuwa niliwahi sikia kule makato yalikuwa wakati wa kutoa pesa Tena ilikuwa kidogo ndio maana nimeuliza,Kama wanendelea na huo utaratibu basi kutakuwa na unafuu kuliko hao NMB na CRDB.
Mtu unafungwa kwa maamuzi ya mwili wako??Kugoma kuhesabiwa ni kosa, unaweza kufungwa jela kwa miaka miwili 🐒View attachment 2330440
Na Hili Nalo mwende mkalitizame.Maumivu niliyooo nayo achaa tu.mi machinga nikashawishiwa na crdb acc haina makato ya mwezi.na inaazia 3000 kufungua.....basi nikapata ka pesa nikaweka 30000 juzi nataka niongezee nikachukue hata ka mzigo nakuta helaa imebaki 14000 dah nilitaka kulia.sitakaa niweke hela benk Bora niweke nyumbani au kwenye cm
Mwaga motooooooo mzee 😄😄😄
Unamtofautishaje madelu na huyu bibi hawa wanacheza kwa step za boss akija mtu anaimba wanyonge na wenyewe wanaitikia wanyongwe akija wa kufungua nchi na wenyewe wanafungua nchi.Ni lameck
Ile mikopo wanayopewa Zanzibar unafikiri wale wala urojo wanalipa wale? Ni sisi ndio tunakamuliwa hivi tukalipe mikopo waliyopewa wale wala urojoHuyu mama jamani mbona ana roho ya hiviii?? Sasa sitahesabiwa wala sitapiga kura
Angalau tupate wabunge wa upinzani. Mambo ya hovyo yanapita kwa sababu bunge ni la chama kimojaYataiba kura mkuu