Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,778 Reaction score 21,010 Aug 21, 2022 #61 Ni anapendelea watoto wa mama mdogo hataree Awamu hii wavaa kanzu na hijab wameula FRANCIS DA DON said: Ile mikopo wanayopewa Zanzibar unafikiri wale wala urojo wanalipa wale? Ni sisi ndio tunakamuliwa hivi tukalipe mikopo waliyopewa wale wala urojo Click to expand...
Ni anapendelea watoto wa mama mdogo hataree Awamu hii wavaa kanzu na hijab wameula FRANCIS DA DON said: Ile mikopo wanayopewa Zanzibar unafikiri wale wala urojo wanalipa wale? Ni sisi ndio tunakamuliwa hivi tukalipe mikopo waliyopewa wale wala urojo Click to expand...
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,892 Aug 21, 2022 #62 Wezi hadi kwenye account zetu.
C Chiumbe JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 566 Reaction score 828 Aug 21, 2022 #63 Barnabas Mashamba said: Yule jamaa alitaka matajiri waishi kama mashetani, huyu yeye kwa kushindwa kwake kukusanya kodi zilizokwisha idhinishwa kisheria anahakikisha masikini wanaishi kama mashetani. Click to expand... Ni mwendo wa ushetani tuuu.. tuanze kuweka pesa majumbani sasa.. kama zama zile na pamoja na kuchukua mshahara pale hazina kwa bahasha kupitia mstari
Barnabas Mashamba said: Yule jamaa alitaka matajiri waishi kama mashetani, huyu yeye kwa kushindwa kwake kukusanya kodi zilizokwisha idhinishwa kisheria anahakikisha masikini wanaishi kama mashetani. Click to expand... Ni mwendo wa ushetani tuuu.. tuanze kuweka pesa majumbani sasa.. kama zama zile na pamoja na kuchukua mshahara pale hazina kwa bahasha kupitia mstari
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Aug 21, 2022 #64 Nikatoe vi chenji vyangu nikae navyo chini ya mto sitaki ujinga
A Aab2 Member Joined Aug 22, 2021 Posts 34 Reaction score 46 Aug 21, 2022 #65 Ivi hata Barclay's bank na penyewe kuna tozo?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Aug 21, 2022 #66 Aab2 said: Ivi hata Barclay's bank na penyewe kuna tozo? Click to expand... Ndio bank zote ziko intergrated kila transaction inasoma BOT hivyo BOT wataomba wazipeleke TRA
Aab2 said: Ivi hata Barclay's bank na penyewe kuna tozo? Click to expand... Ndio bank zote ziko intergrated kila transaction inasoma BOT hivyo BOT wataomba wazipeleke TRA