😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

Yule jamaa alitaka matajiri waishi kama mashetani, huyu yeye kwa kushindwa kwake kukusanya kodi zilizokwisha idhinishwa kisheria anahakikisha masikini wanaishi kama mashetani.
Ni mwendo wa ushetani tuuu.. tuanze kuweka pesa majumbani sasa.. kama zama zile na pamoja na kuchukua mshahara pale hazina kwa bahasha kupitia mstari
 
Back
Top Bottom