Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Mkuu hela ni ya wizi ilienda kufichwa shambani kwake watu wakachungulia fursa wakaaiba wakijua hawezi kuongea kitu ndio maana wale wezi walitekwa na kukalishwa kimya ila kule watu hawakai kimya HAWKS ndio kazi yao hiyo wakifanya uchunguzi watakuja na majibu na uchunguzi unatakiwa ufanyike na Rais asiwe madarakani...
 
Huyo jamaa si wamwachie tu hiyo ndege na deni liwe limeisha!
 
Naunga mkono hoja yk mkuu!
 
Kati ya Mimi na wewe na zuzu? Nimekuuliza chanzo Cha deni unakijua? Huu bdio upumbavu tunaotaka uwatoke mazwazwa kama wewe. Kwa taarifa Yako Hilo deni ni mipabgo ya wapigaji. Stay tuned
 
Kwa mujibu wa Jiwe, ndege moja alinunua kwa bilion 400. Deni la huyo Mswid ni bilion 380. Kwa hiyo kuna kaziada ka bilion 20
Hakuna mswid huo ni mpango WA yule bwana tozo & co.
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Magufuli kwa kipindi kifupi tu cha uongozi wake ametuachia madeni na matatizo na uharibifu mkubwa ambao itatuchukua miongo kadhaa kuondokana na uharibifu huu!
 
Jamaa anadai aliuza buffaloes; wafanyakazi wakaweka pesa kwenye sefu ila mmoja akaona haitakuwa salama kwenye sefu akaamua kuipeleka ndani Kwa presda na kuitunza chini ya kochi ambapo ni salama zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Magufuli kwa kipindi kifupi tu cha uongozi wake ametuachia madeni na matatizo na uharibifu mkubwa ambao itatuchukua miongo kadhaa kuondokana na uharibifu huu!
Kwa hili napinga; hivi unakua hoyo kampuni iliyokamata ndege ilijiondoa yenyewe kwenye uwekezajji wa kiwanda Cha sukari?
 
Kwa hili napinga; hivi unakua hoyo kampuni iliyokamata ndege ilijiondoa yenyewe kwenye uwekezajji wa kiwanda Cha sukari?
Wajiondoe wenyewe halafu waende mahakamani kudai kuondolewa?! Haya ni mambo ya Magufuli na yapo mengi tu yanajitokeza taratibu, tutaona mengi.
 
Wajiondoe wenyewe halafu waende mahakamani kudai kuondolewa?! Haya ni mambo ya Magufuli na yapo mengi tu yanajitokeza taratibu, tutaona mengi.
Shida ya waimba mapambio ndio hii
 
Jamaa anadai aliuza buffaloes; wafanyakazi wakaweka pesa kwenye sefu ila mmoja akaona haitakuwa salama kwenye sefu akaamua kuipeleka ndani Kwa presda na kuitunza chini ya kochi ambapo ni salama zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Biashara yeyote inatakiwa alipe kodi na malipo makubwa yanafanyika bank yaani kuanzia laki moja rand ni ishu ya bank hiyo na SARS wapate kodi yao nachokwambia hapo pana madudu mengi kuliko unavyodhania sisi tuendelee na Kalyinda yetu Hawks watakuja na majibu sahihi karibuni tuu..
 
Nafikiri haliwezekani kwa mujibu wao huwa wanasema kuwa wadau au wateja husika hawapendi mkataba kuwa wazi kwa sababu za kibiashara.

Labda pawepo na tume maalum au kitengo maalum kama CAG kuipitia mikataba kabla ya kusainiwa
 
Wakulima wamechachamaa ,manzo mkulima styne sasa mkulima wa bagamoyo.
 
Kwa dhamana kubwa ya Taifa kama hiyo kushikiliwa nadhania ni aibu kubwa sana walimu wetu walio wafundisha Mawaziri wetu maana waliwafundisha kukariri tu sio kutafuta suluhisho la kuliokoa Taifa. Waziri mwenye dhemena yupo kimya sasa mali ya Taifa inakamatwa hasemi lolote kwa Taifa na tuliambiwa Ndege ilinunuliwa kwa kodi zetu.πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 
Mi nimekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…