Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?

1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,

Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.

Tanzania tunaendelea wapi?
Bwana.. inasemekana A220 3 zina shida upande wa injini moja tu ndo inafanya kazi, huko iliko kamatwa ilikuwa GEREJI... mwisho wa kunukuu...
 
Hiyo ndege wabaki nayo tu tuna changamoto nyingi tuzitatue kwanza hasa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Wataipiga mnada kwa bei ya kutupa, watadai deni halijatimia.

Wataomba kibali cha kukamata mali nyingine hadi deni litimie,

Unazakuta kwenye hii kesi kuna viongozi wetu tunawaamini wanasubiri cha juu,
 
Ndege mbovu inawezaje kwenda nje muda mwingine umiza kichwa chako sio unauliza maswali ambayo majibu yake unayo...
Nchi ina uhuni mwingi

Sasa kama ndege inahitaji service ndy uipeleke Canada au uholanzi

Ova
 
Inasemekana hizo engine zina matatizo, so hiyo ilikuwa inaenda kuchekiwa, wakaitia pin huko huko.
 
Wataipiga mnada kwa bei ya kutupa, watadai deni halijatimia.

Wataomba kibali cha kukamata mali nyingine hadi deni litimie,

Unazakuta kwenye hii kesi kuna viongozi wetu tunawaamini wanasubiri cha juu,
Kweli Kabisa

Ova
 
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?

1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,

Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.

Tanzania tunaendelea wapi?
Imetlewa kafara..
 
Najiuliza aliyempatia taarifa ya kutua kwa ndege huyu anaedai ni nani? Kwasababu ndege yetu haina ruti za kwenda huko kwamba angeenda mahakamani na process zingine mpaka ikafikiwa kuzuiliwa kwa chopa yetu
 
Wwe aamkaa kutoka usingizini! Magufuli aliaamua kusanua kombe kila Mtu aone jinsi Nchi ilivyo uuzwa kupitia mikataba ya kiunyonyaji tena ya muda mrefu! Swali la kujiuuliza Watanzania tunachomowaji Kama Nchi kutoka kwenye hiyo mikataba ya kifasadi!? Au tupige kimya waeendelee kutunyonya pamoja na rasilimali zetu!!!!!?
Kati ya wapigaji wakubwa na waliowahi kuwa viongozi wa nchi hii ni Magufuli akitumia Mayanga Construction
Company ya jina la rafiki yake. Aliipa kampuni hii kila tenda kama vile ujenzi wa uwanja wa chato, madaraja, barabara na tenda nyingine lukuki. Leo hii kampuni inaendeleaje. Tuendelee kuganga majeraha ya enzi za Magufuli ni mengi na yanaibuka kila siku.
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
...Imekamatwa Kwa Nini?? SI tuliambiwa Zimenunuliwa Kwa Keshi? Haya madeni yanayofanana zikamatwe yanatoka Wapi??
 
Ukisoma kwa makini chanzo Cha kukamatwa ndege yetu huko Netherlands utaona wazi kuwa huu ni mchongo wa wazi kabisa.

Kwa niaba ya watanzania wazalendo nauliza ndege yetu ilifuata Nini Nethelands?
Screenshot_2022-12-02-13-05-27-26_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg
 
'Kikulacho ki nguoni mwako'
Yule tycoon aliyenunua kampuni ya aviation sio rafiki mzuri. Cha kushangaza amekuwa rafiki mkuu wa Serikali hadi viongozi wakuu wa serikali wanafanya marketing ya baadhi ya kampuni zake.
Umemkazania kama kakuibia
 
Unakuta mtu alifeli darasa la nne, akafeli la saba, akafeli from 2 na foem 4 akazungusha halafu ana PhD ya kupewa

So sad tulipofikia kwakeli, education quality inazidi kushuka na mbaya zaidi wanaishusha ni so called wanasiasa wa hapa nyumbani
 
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?

1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe zinatafutwa Ili zikamatwe
Nimewaza kuna watanzania wameshiriki Ili ndege ikamatwe ilikokuwa Ili kupata mgao wa 380 bilioni,

Tangu ndege ikamatwe sasa ni mwaka mmoja serikali imepiga kimya.

Tanzania tunaendelea wapi?
Hapo watu wanapiga pesa ya kufuatilia ndege pamoja na udalali
 
Ina maana unasema hawa jamaa wanatengeneza mazingira wapige hela

Ova
 
Idara ya usalama wa taifa imekosa watumishi wazalendo na wenye weledi. Wengi wanaajiriwa kwa vimemo kutoka kwa viongozi wa CCM.
CCM inaozesha nchi
Hii si kauli ya mtu makini. Peaceful transition of leadership inafanyika kila baada ya miaka 10 na tulimpoteza Rais, vyombo vyetu ikiwemo Idara hii vikasimamia usalama wa nchi, nchi iko salama kwa sababu ya hii Idara na mambo mengine ambayo mimi na wewe hautayajui yametuliza nchi kwa sababu ya Idara hii, leo unaleta siasa?

Haipendezi. Tunaweza kujadili changamoto zetu za nchi lakini kwa staha na kutambua kazi kubwa za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.# Kila neno moja kabla hujaliandika au kulitamka fikiria IMPACT yake. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom