Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
Jamani naomba msaada wa kujua chakula cha kware na jinsi kinavyotengenezwa
Nini matumizi ya kwale?
Nini matumizi ya kwale?
Ebu weka picha ya hao ndege mi siwajui kabisa!
Kware ni ndege afugwae kama walivo ndege wengine, mayai ya kware ndiyo yanayompa thamani zaidi ndege huyu. Huwa yanatumika kama tiba kwa maradhi sugu ikiwamo sukari, pumu, na kuongeza CD4. kwa asie na magonjwa yatamsaidia kujenga kinga zaidi.
Kwa commercial purposes, mayai yanabei nzuri sana sokoni. 20000-30000 kwa tray.
Mwisho kware ni kitoweo ukikwama kupata samaki au kuku...karibu
Mbona hizo zote ni ka sifa za mafuta ya ubuyu?
TFDA wanasemaje?
ningeomba unifahamishe je inachukua mda gani kware kuwa tayari kwa kwa nyama? na je anakuwa na uzito wa kiasi gani wakati huo? je soko la kware(kama nyama) likoje? je kware mmoja bei yake tsh ngapi sokoni? natanguliza shukrani!Mayai ya kware yanapatikana sasa kwa wingi tupigie tukuhudumie