Mkuu hiyo picha umeweka siyo mayai ya kware hayo..
Hayo ni mayai ya sandgroose.
Mkuu hiyo picha umeweka siyo mayai ya kware hayo..
Hayo ni mayai ya sandgroose.
na kware wenyewe unauza na shs ngapi? bei ya mayai shs ngapi?Mayai ya kware yaliyo chakula bora kwa ajili ya afya zetu yanapatikana kama unahitaji tafadhali piga 0788-318671.
Karibuni
Kware siuzi mayai Tshs 25000 kwa trayna kware wenyewe unauza na shs ngapi? bei ya mayai shs ngapi?
mie natafuta mayai yaKware siuzi mayai Tshs 25000 kwa tray
Ukiweka mayai ya kware kwa kuku yanatotolewa?