Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Tutakuwepo hapa
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
 
Patanuka soon
Kila Kauli Ina consequences, nashangaa pro hamas hapo juu wanawapamba Iran, kupamba huko ndio inawacost sana watu wa Gaza na familia zao ,,kila ukiwasha tv ni maiti tu , mji unanukia maiti, wao sababu ya kiburi wanawakumbatia magaidi, wanapigwa mabomu wanakufa wao na magaidi, kushadadia huku ndio itawacost pia hao mnaowaita wababe Iran na huyo kiongoz wao, wewe kusema utaifuta israel kwenye uso wa Dunia ni kosa kubwa sana naona kabisa Kuna watu wanaenda kupasuliwa vipande vipande na mwisho wa huyo ayatollah sjui naona unakaribia..
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
Wanajificha kwenye hospital, vyumba vya watoto..wodi za akina mama...
 
Kwamba Iran ni wa kujipigia tu!?.. wapalestina wasipambanie ardhi yao ambayo kila siku israel anaimega!?
 
Hapo pagumu ingawa panawezekana lakini nimeona Trump akimwambia Netanyahu, kwanza maliza Gaza kisha Iran usubiri mpaka hiyo nucler deal ikigoma.

Leo nimeona Iran inasema imeshapata Nuclear fomular na hwataki tena mazungumzo na Trump.
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
Kiongozi wa Hamas Sinwar aliyelipuliwa kichwa kikapasuka alikuwa amejificha kwa raia?
Mnachofeli ni kwamba, Hamas hawajifichi miongoni mwa raia lakini Hamas wanajificha kwenye magofu na mahandaki, huko chini kwenye mahandaki wana chakula, wana viwanda vya silaha, wana camera wanaona kinachoendelea huko juu..

IDF wanapoingia wanapigwa ambush na kushambuliwa, hamas wanapigana kwa guerilla tactics..

Nitakubali Hamas hapo Gaza wana kitengo chao cha intelligence ambapo baadhi ya hao agent nitakubali wapo miongoni mwa raia na wanapeleka taarifa zote kuhusu IDF hapo Gaza... kama ilivyo IDF ilivyo na agents ndani ya Hamas, Hezbollah n.k

Tazama hio video hapo chini uone IDF walivyo bananishwa kwenye ambush na Hamas Gaza wakawa wanalia kama watoto ... Vita si rahisi kama mnavyozungumza kama walevi wa pombe za kienyeji... hapo unaona Hamas wamejificha kwa raia?

View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78&t=67s
 
Unazungumza kama walevi kwenye kilabu za pombe za kienyeji...
IDF ilidhamiria kuua wananchi wa Gaza, kuna video hapa niliweka ikimuonyesha veteran wa IDF akiwaambia IDF wakiingia Gaza waue kuanzia watoto, wanawake n.k, hapo IDF ilikuwa kabla ya kuvamia Gaza... nikipata hio video nitaweka hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…