Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Sijamaliza kuusoma huu mgazeti wako. Lakini narudia tena:

"Mwafrika ni Mwafrika tu....Hajawahi kujitambua"

Angekuwa anajitambua asingekuwa anaendelea kufanya haya ayafanyayo.

Utalalama na kutukana utakavyo lakini hiyo haitabadilisha cho chote.

Mwafrika ana matatizo makubwa awe Afrika, Visiwa vya Carribean, Haiti au po pote. Takataka na aibu tupu!

Nyanoko!
 
Kama ni kweli kasafiri bila taarifa kwa umma, mambo kama haya yanampunguzia sana CV yake pia na heshima mbele ya Jamii anaowaongoza.
 
Uchunguzi wa Jamii Check unethibitisha kuwa ndege ya serikali yenye usajili 5H-ONE imeonekana anga za Oman, Dubai na Saudi Arabia:

Na hii ni taarifa ya JAMII CHECK

KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA
 
Why ndege imepita juu ya anga la somalia na yemen kusiko na usalama?
 
Kweli taaluma ya IT imeshika kasi
 
Ndo mkome kuweka "ke" kuwa vichwa vya nchi! Nchi kama Tanzania, mabeberu wanachekelea maana wanamuendesha kama remote na kupora/ kuingia mikataba ya kinyonyaji na kuirudisha Tanzania katika utumwa
 
Hapa ndipo waliopo ikulu wako nyuma sana na maswala ya technology. Usafiri wa anga sio kama bajaji

Arudi atuambie alienda kufanya nini na asirudi na karatasi za choo tena!

Sikilizeni WaTanganyika wanataka nini
Wanataka Bandari yao simple acheni kucomplicate mambo…
 
Kwahiyo anatuuza kwa lazima?!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Ipo siku itaanguka huko kwa wajomba ndio watakoma
 
DOUBLE PENETRATION ASEEEEEEE , TUNALIWA KOTE KOTE KOTEEE
 
Ogopa Mungu na teknolojia.
 
Akili za hawa wenzetu huwa ni za kuwaza misaada zaidi.
Wana extreme mbili.
Ile ya waliotumia akili wakawa matajiri sana
Wanaobaki ni omba omba.
Huyu maza yupo hii ya pili.
Hata kama ndani kwake ana mahindi atampa mtu hayo mahindi akasage aafu yeye akamuombe ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…