Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Inawezekana amechota mzigo wa USD 100m zinazosikika wao kugaiwa kaenda kuzirejesha. Ndio maana kuna uaba wa dola mjini!
 
Hii ndege kuna umuhimu wa kuifuatilia kila siku.

Maana tunaambiwa huwa anasafiri kinyemela.

Nakumbuka ule uvumi kwamba raisi wa Tanzania alisafiri usiku wa manane kwenda China kumtoa mwanae aliyeshikwa kwa drugs niliona kama ni joke nikapuuzia lkn huyu raisi wa sasa ananifanya niamini mambo ambayo zamani sikuamini yanawezekana.
 
Ulimwengu wa Technology CCM Utawaua walipo Tupo.

Mambo Yako naked and this is JF
 
Kuna kila dalili/ishara serikali ya ccm imepunguza kukopa sana IMF na WB na sasa wanakopa sana UAE, na wansrudisha fadhila kwa kuwapa rasilimali za nchi
 
Mkataba aliuficha ndani mwaka mzima unazani alikuwa hajui kuwa ni mkataba ni mbovu mkataba unapitishwa na bunge watu wanashauri mkataba ni mbovu rais anakuambia ameziba masikio kama kuu ccm wanakaa kikao wanakubaliana kulikokota hivyo hivyo gari bovu
 
Umeongea utopolo
 
Ameenda kuhani msiba wa mdogo wake mfale na pia kusalimia wajomba zake....
Nchi inaendeshwa kifamilia tulieni mnyolewe
 
Kumbe twaweza kuikodi.
Ina kazi nyigi serikalini, huwezi kuikodi. Una tatizo, jisome:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…