Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    18.3 KB · Views: 3
Safi sana hii,huu ndio uzalendo unaotakiwa,kitaeleweka tu.Lazima kuna jambo zito sana linaloendelea.Kama alidhani anaweza akauza mali ya familia akabaki salama,alikosea sana.
 
Wanaacha wenyewe ombwe la ya taarifa kwani Rais anapokuwa ana safari iwe ya kikazi au mapumzikon ni wajibu wao kutoa taarifa kwa umma! Ata hivo mi sijareport uwepo wa Rais huko Dubai, ila nimereport ndege ya Rais! Kumbuka ata Dkt Tulia alishawah kuitumia hiyo ndege na ata Waziri mkuu ashawah kuitumia hiyo ndege.

Kamala Harris akiwa anakuja Tanzania
jamiiforums.com
Where We Dare To Talk Openly › nde...
Ndege ya Air Tanzania yazuiliwa kuingia katika anga sababu ya ndege ya Kamala ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…