Haya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.Wewe wa huko Gongolamboto unataka kusema unaakili kuliko warusi kwamba hawajui wanachokitaka?acha kujiaibisha aisee.
Katafiti mbona mambo yapo wazi.Russia ni nchi kubwa Sana kisanyansi,kiinteligensia na kiuchumi pia.hawawezi kuanzisha vitu ovyoovyo.Haya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.
Hizi ulizoandika hapa ni porojo tu. Au wewe Mrussia koko!? Unaniambia nikatafiti wakati wewe mRussia wa Moscow upo! Ni nini mnatafuta huko Ukraine!? Au na wewe ni Mrussia wa tandale kwa tumbo!?Katafiti mbona mambo yapo wazi.Russia ni nchi kubwa Sana kisanyansi,kiinteligensia na kiuchumi pia.hawawezi kuanzisha vitu ovyoovyo.
Sitaki kumuelekeza MTU mvivu wakati kila kitu Kipo wazi kajisomee.Hizi ulizoandika hapa ni porojo tu. Au wewe Mrussia koko!? Unaniambia nikatafiti wakati wewe mRussia wa Moscow upo! Ni nini mnatafuta huko Ukraine!? Au na wewe ni Mrussia wa tandale kwa tumbo!?
Kwani hao wa Magharibi hawafanyagi mazoezi?Urusi aliwahi fanya mazoezi hivi hivi mpakani na Ukraine,alipoulizwa akadai nipo mazoezi,mwishoni ndo hivyo.[emoji13]
Acha ushamba hiyo ni ndege yenye uwezo wa kubeba mabomu ya nyukilia na ina uwezo mkubwa tofauti na unavyo fikiri.Ndege moja hapo kama ya abiria.[emoji23]
Mitambo ya US inaangusha hizo kama embe juu ya mti.
Unajua Baiden amemzidi putin zaidi ya miaka 15.Putin ni kijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marekani hawahawa waliopigwa na wavaa makobazi wenye AK-47 tu,pigwa mpk wakakimbia.Miaka 20Russia hawa hawa wanaoendelea kuhangaishwa na kale kamkoa ka Ukraine!?
⁉️Hicho ndicho anatakaHaya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wameamua kupigia kwata Japan kabisa. Hawa jamaa hawa!
Tunataka kumwadabisha huyo Zele amezidi kiburi😀😀 Halafu huyo Zele anawakaribisha 'wachawi' wa NATO na kuweka tunguli zao pale ili 'kutuloga' sisi...hatuwezi kukubali...Haya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.
Una uhakika na ulichosema?Waache waendelee kufanya mazoea ya pamoja lakini hata mchina na mrusi waungane hawawezi kumpiga mmarekani.
Mmarekani anambinu nyingi sana.
If you know you knowRussia hawa hawa wanaoendelea kuhangaishwa na kale kamkoa ka Ukraine!?
Hata wewe mwenyewe haujui chochote. Mrussia koko wa tandale kwa tumbo.Sitaki kumuelekeza MTU mvivu wakati kila kitu Kipo wazi kajisomee.
Ni wazi unatamani Putin awe bwana wako. Sio mbaya yule anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja.Unajua Baiden amemzidi putin zaidi ya miaka 15.
Putin bado ana lipa bwana si unaona ana mpaka mchepuko ?sasa kababu Baiden mchepuko katauweza kama akajajifia kitandani?[emoji1][emoji3][emoji2][emoji1][emoji3][emoji2]
Ujinga mwingine huu. Ukraine sio taifa huru!?Tunataka kusababisha huyo Zele amezidi kiburi😀😀 Halafu huyo Zele anawakaribisha 'wachawi' wa NATO na kuweka tunguli zao pale ili 'kutuloga' sisi...hatuwezi kukubali...
Punguza ujinga matusi ya nn?Ni wazi unatamani Putin awe bwana wako. Sio mbaya yule anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja.