Sio ujinga. mtu anapomsifia mwanaume mmoja kuhusu mambo ya faragha na kumponda mwingine ni wazi mtu huyo kama ni mwanaume basi ana tabia za kichoko (yaani bwabwa) au kama ni mwanamke basi anatamani awe mke/mchepuko wa huyo anayemsifia.Punguza ujinga matusi ya nn?
Mwambie China akadondoshe kajiwe kadogo tu pale Taiwan-Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa โQuadโwalipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema.
- Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza โwasiwasi mkubwaโ kwa urusi na china juu ya safari za ndege, ambazo zilifanyika wakati viongozi kutoka Amerika[U.S.A], India, Australia na Japan wakifanya mazungumzo juu ya usalama wa kikanda.
- โWakati jumiaya ya kimataifa inajibu uchokozi wa urusi dhidi ya Ukraine, ukweli kwamba china ilichukua hatua hiyo kwa ushirikiano na urusi ambayo ni mchokozi, ni sababu ya wasi wasi haiwezi kupuuzwa".Al-Arabiya iliripoti
View attachment 2237105
Credit: @Dondookimataifa/Instagram
View attachment 2237108
China alipoambiwa Taiwan Marekani atailinda kijeshi amekuja chini mwenyewe na kusema yeye anatumia njia za amani.,Taiwan akae mkao wa kuliwa โฆ,,,
Ndugu hayo maelezo umeyapatia wapi kuhusu kauli hio ya ChinaChina alipoambiwa Taiwan Marekani atailinda kijeshi amekuja chini mwenyewe na kusema yeye anatumia njia za amani.,
Vyanzo ni vyingi sana niliona CNN, BBC na AljazeeraNdugu hayo maelezo umeyapatia wapi kuhusu kauli hio ya China
Una akili za kipumbavu.Sio ujinga. mtu anapomsifia mwanaume mmoja kuhusu mambo ya faragha na kumponda mwingine ni wazi mtu huyo kama ni mwanaume basi ana tabia za kichoko (yaani bwabwa) au kama ni mwanamke basi anatamani awe mke/mchepuko wa huyo anayemsifia.
Na hiko ndicho ulichofanya kwenye post yako namba 68. Mimi nimefanya conclusion tu.
Sawa. Endelea kusifia wanaume kwenye faragha zao.Una akili za kipumbavu.
Then ikawaje?Refers Javellin alizopeleka muingereza zilivyofanya Tanks za kirusi
Amechakaza vingapi mkuu, au nawe uliskiaskia tuMnyonge mnyongeni haki yake mpeni mwingereza kwenye javellin kaupiga mwingi alijua kuvichakaza vifaru vya mrusi balaa[emoji106]
Ile kwake mara ngapi?Ukrein hasingekuwa na javelin ingekula kwake
We ndo hujui analolitaka ndo maana hujui anataka niniMpaka sasa Russia hajui hata analolitaka huko Ukraine. Wewe unajua anataka nini huko!?
Mataifa huru duniani ni Russia, USA, China mataifa mengine yote yanachagua siasa za haya mataifa ili kuwa salamaUjinga mwingine huu. Ukraine sio taifa huru!?
SawaAmechakaza vingapi mkuu, au nawe uliskiaskia tu
Kweli kabisa unachosema๐Mataifa huru duniani ni Russia, USA, China mataifa mengine yote yanachagua siasa za haya mataifa ili kuwa salama
Wewe unajua!? Kama unajua hebu elezea hapo.We ndo hujui analolitaka ndo maana hujui anataka nini
๐๐๐๐๐Mombasa ni eneo la Tanzania wajiandae tunakiwasha
Ndugu unakifahamu kwa undani unachozungumza?๐คVyanzo ni vyingi sana niliona CNN, BBC na Aljazeera
China alibweteka sana technologia kubwa anayoitumia ni kutoka Marekani mambo yake yako wazi kwa Marekani ndio mana mara zote akiulizwa iwapo anaisaidia Russia kwenye operation kule Ukraine huwa anakataa mbingu ardhi kwa sababu yuko uchi sana kwa Marekani
Yes, very muchN
Ndugu unakifahamu kwa undani unachozungumza?๐ค