Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

CAG kasema pia uwanja wa Benjamin Mkapa hauna mifumo sahihi na salama ya Taa.
 
Jitu gani Kwa mfano
 
Yaan unasema wamemtaja Marehemu gani vile😁😁😁 Mzee Heshima Yako ilishapotea Kwa upuuz kama huu! Watalii wamtaje Marehemu ...! Afu hao Watalii Wazee,wajawaziti na watoto umewatoa wapi!
 
Gerson Msigwa alisema “baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi kama kawaida.”
mchakato unaweza kuanza shida Tz hadi muone watu na hekaheka ndio mnaamini marekebisho yameanza heshimuni taaluma
 
Sasa Sukama gang linaingiaje hapo?? MBONA UNATOA POVU JINGI
 
Suali ni kwanini uwanja wa ndege wa kimataifa uwe na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara?

Uwanja wa ndege wa KIA.

Yaani hii ni aibu sana aisee.
Sasa mkuu hilo swali ni nani anaulizwa?

Kwasababu nimeweka maneno ya Gerson Msigwa Kama mtoa jibu kuwa baada ya kufanyiwa “marekebisho”, sasa uwanja unafanya kazi kama kawaida. Na hiyo ni jana.

Unadhani Msigwa atatoa jibu jingine kuhusiana na swali lako?
 
Wewe akili zako ni sawa na kum ya mama yako tu!! Hujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…