Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

U
Situdanganye kama una ushaidi atuli maneno ss
 
Ndio maana napinga sana ujenzi wa maviwanja makubwa sababu maintenance yake huwa ni kubwa kuliko mapato
Mkuu kwa heshima na taadhima niruhusu niseme, hiyo si sababu.

Tanzania ina viwanja vya ndege na viwanja hivyo vyapaswa kuendeshwa na watanzania wenye akili ya kujituma kwa kila hali ili nchi iendelee.
 
Ripoti hii ya CAG inatizamwa kwa kurunzi na inatengenezewa ushahidi endelevu....kinachokuja kufuatilia ni kurudisha taasisi za kiserikali kwenye "private sector" manake huko ndiko kunawatoa mate mabeberu wanaotaka kuja kuiangamiza Nchi hii. SSh amedanganywa kuhusu Tume ya Uajiri sasa wanaingizwa hawa mabeberu kuja kupika yale yanayoonekana kama mapungufu katika Taasisi za kiserikali ili zije kuuzwa-au kwa lugha nyepesi, zisalimishwe kwa wawekezaji wa kibeberu. Naacha akiba ya maneno.
 
S
Stupid imetosha
 
U

Situdanganye kama una ushaidi atuli maneno ss
Taarifa zilizopo ni kwamba pale KIA pana kamchezo fulani huwa kanachezwa na nafikiri kale kamchezo kamerudi.

Kale kamchezo ka wale ndege wadogo wa kinega kuruka kutokea viota vya pembeni.

Hawa wakiruka huchukua kila kitu kutoka kwenye vile viota vyao.

Nadhani utanielewa.
 
Umeleta hoja muhimu sana ila umeharibu mwishoni
Nchi hawezi kuongozwa kwa kumtegemea mtu mmoja
 
Unataka kusemaje ww chawa ..hebu rudiana tena utagundua kuwa haujameza dawa zako aina risperidone
 
Mkuu umeongea na nzi wako hata mmoja akupe habari zaidi?
 
Tindo ana msongo wa mawazo
 
Mtanikumbuka sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuteseka kijana unakonda ukiwa wapi?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanikumbuka by JPM

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una chuki sana na Mzee Magu sijui kwanini?
Inawezekana Kuna kitu kikubwa sana na Cha ajabu sana ambacho huyu jamaa alifanyiwa na the late JPM. Comments zake karibu zote lazima aingize jina la JPM hata kama hapastahiki. Hilo la wizi wa kura sidhani kama ndo sababu, inawezekana Kuna unyanyasaji mkubwa tusioujuwa alifanyiwa na JPM. Haiwezi kuwa Bure.
 
Huyu ana mimba ya Magufuli soon atazaa mapacha

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwaondolea wewe na nani?
 
Nipo kilomanjaro hizo mvua nyingi zipo wapi mbona masisiem mnapenda sana uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…