Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe


Kwanini Uganda badala ya Mwanza au Dar?
 
Inawezekana Haya mojawapo ya majibu kwanini watalii wakiondoka hawarudi. 😂
Hakuna kitu kinoudhi kama kukuta sehemu unokwenda ipo "below standards".

Sasa KIA pana wizi wa mizigo ya wasafiri na kisha kuna kukatika umeme mara kwa mara.

Na safari hii ni kwa sababu ndege ya KLM imekwenda Uganda ndio imebidi habari hii iwe public.

Sifahamu taratibu za malipo ya fidia kwa ndege ambazo zina "landing rights" kwenye viwanja vya kigeni, zinakuwaje.
 
Usidhani watanzania ni wajinga, wana take a note na kuweka moyoni wakisubiri hukumu 2025, na utaona jinsi ambavyo Rais Samia atahaha na kuhangaika na asipokaa makini atashindwa.
Nakuhakikishia approval ya Samia imepanda Sana. Na itapanda mara dufu hadi kufikia hiyo 2025. Achana na maigizo, tembea mikoani au fuatilia taarifa za habari. Samia vijijini amewekeza sana sana sana hasa kwenye miradi ya maji, afya na elimu. Hana mfanowe. Samia anajibu kero za maendeleo in long term plan, angalia machinga walilia Dodoma,waulize leo wanasemaje.

In short anajitahidi sana ukiangalia na hali ya Dunia kiuchumi inavyokwenda. Atashinda kwa nguvu zote hata huko usukumani.
 
Hivi Hii nchi unaijua kweli?,Kwahiyo wewe unadhani kura zako ndio zinaamua nani awe kiongozi,utakua mpumbavu wa kiwango cha lami
Mkuu wangu atlas copco mambo yanabadilika. Wana CCM tunaangalia upepo jinsi ulivyo sasa tunaona kabisa mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama inaendelea kukatika kila kadri siku zinavyosonga. Hebu fikiria, kama Sabaya alisimamia Hai mpaka akapatikana Mbunge wa CCM, same kwa majimbo mengine mengi sana baada ya Dkt Magufuli, wale wote waliosimamia CCM kushinda na kushiriki fitina mbaya wakaitwa jina baya kabisa la Sukuma Gang na Rais Dkt Samia akakubali na kuanza kulishurutisha hilo kundi lililomuweka yeye madarakani kupitia Dkt Magufuli na kibaya kabisa kabisa wengine wakawindwa wauawe, je kwa muktadha huo unadhani kuna mtu yeyote kwenye vyombo vya ulinzi na usalama atashiriki kuisaidia CCM ambayo inaweza kukugeuka muda wowote na ukaonekana takataka???? Hapo kwa CCM kushinda kuna mambo mawili kiuchambuzi (1) ni kutoa rushwa kubwa sana kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa ngazi zote (2) Kuhonga wapinzani wajitoe. Nje ya hapo CCM iko hoi bin taaban na mbeleko ya vyombo vya ulinzi na usalama is no longer there!
 
Umemaliza kila kitu ktk hii comment. Sukuma gang wamekuwa ni watu wa kusubiria hitilafu na matatizo madogo madogo ili wamuinue legacy wao
 
Umeanza ramli zako chonganishi!! Hivi hata wewe kwa akili zako yule mchawi alikubrainwash kiasi hicho? Kweli mwafrika bado unyani unamtesa!
 
Nakuunga mkono kwa hilo la kuwapumbaza hao wa huko vijijini.

Maana CCM mtaji wao mkubwa wa watu wasojitambua ni huko vijijini.

Hiyo ni kwasababu miundombinu ya mitandao bado sana huko vijijini na hata runinga bado sana hivyo hawafahamu kinoendelea zaidi ya kusikiliza redio (BBC VOA)

Ninyi endeleeni na mambo yenu.
 
Hakuna wakutoa hukumu kima wewe, enzi za huyo mchawi wizi ulikua mara 100.
 
Kinachomuangusha Rais Dkt Samia vijijini ni (1) mfumuko wa bei (ingawa wakulima wanafurahia kuwa wanauza mazao kwa bei kubwa); (2) kuhisiwa kutokana na kauli zake alishiriki kumuua Dkt Magufuli na kuhisiwa anahakikisha kila alichoanzisha Dkt Magufuli kinakufa (umeme wa REA, etc). Hivyi vitu viwili na vingine ni kikwazo kikubwa sana kwa Dkt Samia. Tena hata mijini wenye vipato vya chini hawampendi kabisa wanahisi kauli zake zinaashiria kifo cha Dkt Magufuli ana mkono wake (kuungana na Kigogo 2014, kuungana na akina Ayatola Zito ambao walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli etc). Hivyo Rais Dkt Samia tumsaidie kwa kumueleza ukweli isije fika maji ya shingo then tuanze kuhangaika kama JK 2010.
 
Wewe wala hakuna anayekushangaa una chuki kali na ya kutisha kwa Magufuli kwako hajuna jema lolote kwake
 
Hakuna wakutoa hukumu kima wewe, enzi za huyo mchawi wizi ulikua mara 100.
Naona wakalia ukuni wa kengeza mbowr mpo kibao, nambie leo alitumia mkongo au viagra ya ubelgiji?? Maana lichama la masenge masenge na mauza madawa ya kulevya
 
Elezea kisa achana na kuwataja hayati na sio Marehemu! Heshima majina.
Halafu umetaja wajawazito na watoto wanahangaika. Huo ni uongo kwani dharura kama hizo zinachukiliwa hatua haraka.
Shida ni Kwa TanzaGiza tu kila mtu yuko kwenye ufisadi.
 
Sina haja ya kuandika sana. Alisrma mtanikumbuka
 
Tusubirie treni ya umeme inakuja!
 
Mkuu una chuki sana na Mzee Magu sijui kwanini?
Hivi ni kwanini mtu akimsema vibaya Hayati anaonekana anamchukia?

Kipino gani kinatumika kuhalalisha kusema mapungufu ya hayati kuwa ni Chuki?
Mkuu kuna watu wakati wake walipata madhila ya kughadhabisha kama wewe nuru ilikujia ni sawa ila acha aseme asemayo ndo njia pekee ya kuyasahau akibaki nayo moyoni yatamuumiza.
 
Naona wakalia ukuni wa kengeza mbowr mpo kibao, nambie leo alitumia mkongo au viagra ya ubelgiji?? Maana lichama la masenge masenge na mauza madawa ya kulevya
Hayo yamejaa huko kwenu CCM!! Kuanzia top wa chama chenu michezo yake si unaijua? Tukija kwako we kima kibuyu hapo una bwawa linanuka balaa kwa kujaziwa mimate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…