Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

Huoni maza yupo kwao?
 
Nadhani anahitaji taafifa sahihi Why iwe kimya kimya
Kimya kimya nini?! Hakuna hoja aliyoandika hapo, bidhaa kuandikwa kiarabu siyo hoja ya kuleta mbele za watu. Kinachomsumbua ni hofu ya waarabu. Yeye pekee ndiye anayejua sababu za kuwahofia waarabu kiasi hicho!
 
Hivi akili zako zinakutosha wewe?
 
Kusingekuwa na tatizo kama wasingekuwa na agenda ya kusambaza dini ya kiislam kwa panga,mabomu na risasi.

Angalia hata nchi kama somalia ni waislam watupu sidhani hata kuna kanisa moja kule,ila bado kwa kuwa wana DNA na ukatili,watakuwa wamepata watu sahihi wa kuwafanyia ukatili kwa kisingizio kwamba wanataka kuwasilimisha
 
Hoja namba 2 ina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…