Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

Mbona bidhaa zilizoandikwa kichina zip0 kiba0 tu
 
Nafikir pia tutakua tumejiunga na umoja wa kifaransa maana hapa kuna bidhaa zimeandikwa kifaransa na kingereza
Tujulishwe na hili
 
Nilijuwa tu upo 'shallow' kweli!
Kwa hiyo hao wameleta maendeleo Tanzania, yako wapi?

Kwa hiyo mkulima, au machinga, au mTanzania yeyote mwenye shughuli zake akipewa mazingira wezeshi ya kufanya shughuli zake kwa ufanisi, kwa maoni yako huoni kwamba hapo kuna maendeleo?

Hao uliowataja hapo juu wanakuja hapa kuchagiza tu juhudi zetu tunazofanya sisi wenyewe kutafuta maendeleo yetu. Wao wanakuja hapa kuchuma tu, na kwa hali ilivyo, sasa wanaweza hata kufifisha juhudi zetu kwa sababu serikali inaweka mazingira ya utegemezi kwao, na matokeo yake yanakuwa kutuibia mali zetu kwa kuweka mifumo inayowaruhusu wao kuzoa tu na kupeleka kwao.

Kila mara tunapumbazwa na hizi kelele za ajira na kodi vitu ambavyo ni kidogo sana kuweza kubadili hali za waTanzania walio wengi. Hizo kodi na ajira zitapatikana kwa wingi kama waTanzania wengi wanaweza kufanikisha shughuli zao kuliko hao FDI unaowalilia kila mara hapa.

Sasa usichanganye mambo. Sijasema hata sehemu moja kwamba hatuwahitaji, lakini sikubaliani nawe kwamba ndio tutakaowategemea watuletee maendeleo.

Kama bado huelewi niliyoeleza, utakuwa na kichwa cha panzi.
 
Dah,mtupu kweli...hayo mazingira wezeshi atayowekewa mkulima ni yapi!?...maana ili pawe na ufanisi wa kilimo(efficiency) sharti uboreshe kilimo,pembejeo,elimu,miundombinu(barabara,wepesi wa miamala/huduma za fedha) na hivi vyote vitahitaji fedha(Kodi)...zitatoka wapi Kodi ikiwa raia wako hawamudu Milo mitatu!!!?...ukiandika Tena,usiandike hao FDI,andika hizo FDI...ni kifupi Cha foreign direct investment,maana hujui FDI ni nini,na hujui walau principal ndogo za uchumi,ni mbwatukaji tu wa kijiweni
 
Ni kazi bure kujadili jambo na 'kichwa panzi' kama wewe.

Kwa hiyo utasubiri uwekezaji ndipo uweke mazingira wezeshi kwa wajasiriamali wa nchi, kama wakulima na raia wengine wote wenye shughuli zao za kuliendeleza taifa hili?
Hizo reli na barabara wamejenga FDI?

Naona unanipotezea muda wangu hapa!
 
Reli alijenga mjerumani,barabara mikopo,sgr mkopo...utawekaje mazingira wezeshi watu wako ilhali hela huna!!!?..narudia Tena chochote kuhusu uchumi,unadhani serikali hupata fedha toka mbinguni au kwa miujiza,angalia GDP na maisha ya watu wakati wa mkapa(uwekezaji/kuvutia wawekezaji) kuja mbele na wakati wa mwinyi kurudi nyuma,tumefanya juhudi kubwa na tunaendelea kuvutia wawekezaji,wewe debe tupu unabwabwaja tu 'kuwezesha watu' ilhali hujui hao watu unawawezesha vipi,hujui kitu,wewe ni popoma pro max,bichwa maji,zumbukuku,zamwamwa
 
Unanipotezea muda.
Huna kitu cha maana cha kujadili; kwa sababu huna uelewa wa unachojadili.
 
Kwa sasa sisi ndio tumeshika usukani.
 
Ukiandika Kiingereza kwenye bidhaa inamaansha wewe ni EU? Ficha vitu vitatu: ujinga, wivu na chuki binafsi!
 
Unanipotezea muda.
Huna kitu cha maana cha kujadili; kwa sababu huna uelewa wa unachojadili.
Hahahaa,kasome principals of economics utapata mwanga,uchumi haujengwi kwa dhana na hisia
 
Hili jukwaa lina mijitu hovyo sana mfano ni wewe
 
Mkuu hauwezi kuchangia bila kuingiza udini? Una shida sana
 
We mwenyewe unajiona una maona kazi kuingiza umbeya na udini wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…