Thubutuuuu [emoji41]Mi nitakuja kuwa rais, maslahi ya Medical Doctor yatakuwa hivi;
1. Bima ya afya-maisha,
2. Kusomeshewa watoto-international mpaka chuo kikuu,
3. Mshahara minimum mil 12,
4. Makazi-bure,
5. Usafiri-unakopeshwa gari bila riba na unapewa mafuta
6. ….
Huyu amekuwa daktari akipitia mikononi mwa wafabyakazi wengi tofauti.Sijui hii akili ya kuona madaktari wanahitaji special package ya mshahara na marupurupu huwa inatokana na nini.Hakuna kazi ya muhimu kuliko nyingine. Vipi kwa madereva ambao wapo barabarani hayo masaa nyie mlikua mnafanya operation?
Wewe masaa yote umewafanyia 6, dereva mmoja masaa yote hayo amebeba watu 60.
Sijui sababu ya kuona baadhi ya mnaofanya kitu flan ni muhimu na mnapaswa kuonewa huruma kuliko wengine
Nenda kairuki mtafute gyno mmoja anaitwa Dr kiswaga anafanya Cs 6 kwa masaa matatu au manne unalalamika nini sasa?Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo.
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa, linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Uzito wa mambo unatofautiana mzee leo ata useme mshahara wa madaktari milioni mia sio kila mtu atatoboa kuitwa daktari ila uo mshahara wakipewa madereva mbona shangwe japo madereva ni wa muhimu pia simaanishi si wa muhimuHakuna kazi ya muhimu kuliko nyingine. Vipi kwa madereva ambao wapo barabarani hayo masaa nyie mlikua mnafanya operation?
Wewe masaa yote umewafanyia 6, dereva mmoja masaa yote hayo amebeba watu 60.
Sijui sababu ya kuona baadhi ya mnaofanya kitu flan ni muhimu na mnapaswa kuonewa huruma kuliko wengine
Wana inferiority, kila profession ni muhimu na tunategemeana.Huyu amekuwa daktari akipitia mikononi mwa wafabyakazi wengi tofauti.Sijui hii akili ya kuona madaktari wanahitaji special package ya mshahara na marupurupu huwa inatokana na nini.
Ukiweka mshahara wa milion 100 kwa dereva wa bus alitoe dar saa 12 asubuhi alafu afikishe mwanza saa 6 usiku kila mtu atatoboa?Uzito wa mambo unatofautiana mzee leo ata useme mshahara wa madaktari milioni mia sio kila mtu atatoboa kuitwa daktari ila uo mshahara wakipewa madereva mbona shangwe japo madereva ni wa muhimu pia simaanishi si wa muhimu
Mi nitakuja kuwa rais, maslahi ya Medical Doctor yatakuwa hivi;
1. Bima ya afya-maisha,
2. Kusomeshewa watoto-international mpaka chuo kikuu,
3. Mshahara minimum mil 12,
4. Makazi-bure,
5. Usafiri-unakopeshwa gari bila riba na unapewa mafuta
6. ….
Mpuuzi kabisa wewe 😂😂Mi nitakuja kuwa rais, maslahi ya Medical Doctor yatakuwa hivi;
1. Bima ya afya-maisha,
2. Kusomeshewa watoto-international mpaka chuo kikuu,
3. Mshahara minimum mil 12,
4. Makazi-bure,
5. Usafiri-unakopeshwa gari bila riba na unapewa mafuta
6. ….
Ungegombea ubunge ukalipwe pesa nyingi nawewe, nani kakulazimisha kusomea udaktari? Nitajie ni mtaaluma gani anayelipwa vizuri ktk ngazi ya halmashauri kuliko daktari?Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji , ukitumia Akili yote, Taaluma yote, kuhakikisha kwamba Mama na Mtoto wanatoka salama.
Hata Chakula nilokula Jana saa 12 jion, tumboni hakipo.
Tunafanya kazi kwelikweli, tunajituma mnoo bila kulala ,bila kupoteza muda, Akili na Mwili vyote vinachoka.
Hivi kweli kazi tunayoifanya inaendana na Mshahara Huu unaokatwa na unakatika haswaa ?. Na utu tuposho tudogodogo hivi?
Eehh Mwenyezi Mungu uendelee Kuwatia Nguvu Madaktari, Wauguzi na Wafanya kazi wote wa Kada hiii, Mungu Baba, kazi hiii ilikua yako, ila kwakua uko juu mbinguni, uliamua kutuchagua tuitendee hapa Duniani, Endelea kutulinda, tuepushie Magonjwa, linda familia zetu, Muda huuu Wake na watoto Wetu tumewaacha Majumbani, Usalama wao uko mikononi mwao.
Lakini Baba Mungu, embu nena na watawala wako, uwape Moyo wa kujinyenyekeza, wakati wanapanga Kujiongeza mishahara minono ya mamilioni, Baba Mungu wakumbuke kua Kuna watu wanapambana usiku kucha kwaajili ya Watanzania.
View attachment 2751793
Wengi wanasomea udaktari wakitiana ujinga huko mashuleni eti ndo una hela, siyo kweli, hakuna taaluma au ajira yenye hela maana mishahara ni midogo.Ungegombea ubunge ukalipwe pesa nyingi nawewe, nani kakulazimisha kusomea udaktari? Nitajie ni mtaaluma gani anayelipwa vizuri ktk ngazi ya halmashauri kuliko daktari?
Acha kazi ukagombee ubunge, maisha hayafanani.