Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Masuala ya kupuuza mambo muhimu kwenye mahusiano na ndoa ikiwemo hicho kipengele cha bikira ndio yametufikisha hapa, kwamba vijana wanaona ndoa sio ishu tena.

Mwanaume anafikiria nioe ili iweje wakati mambo yote ninayotakiwa kuyapata kwenye mwili wa mwanamke nayapata nikiwa bachelor.

Mwanamke nae anafikiri niolewe ili iweje wakati hata nikikitombesha mtaa mzima hakuna anaejali na nitaolewa tu uko mbeleni.

Kizazi hiki cha ovyo tulichonacho leo hii chanzo chake ni kumpa mwanamke uhuru usiokua na mipaka ikiwemo uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwa accountable kwa yoyote, na ndicho indirectly anachotetea mtoa mada hapa

Ofcourse wanaume pia tunastahili lawama kwa sababu tumeshindwa ku-maintain standards zetu na kukubali wanawake watuwekee standards zao za hovyo.
Nadhani pia ujio wa utandawazi imekuwa changamoto kubwa, exposure ya mambo ya ngono imekuwa kubwa tofauti na miaka ya nyuma
 
Baba yake Hakimi angefanya kazi nzuri, asingefika huko na mkewe. Na pia, ukishakuwa na status ni muhimu kujua na kuangalia nani wakuwa mama wa watoto wako, maana kuzaa tu sio shida. Malezi ni muhimu.

Na kwa hiyo case ya jamaa wa man city, unajua ukioa, zinaa is punishable kisheria mwenzako akikushitaki? Na kuomba talaka ni haki yake

Bado hujasema Natafuta Ajira
Siungi mkono cheating haijalishi mhusika ni mwanaume au mwanamke. Point yangu ni kwamba bila kujali sababu ni ipi kupoteza nusu ya mali zako kwa mwanamke ambae hajachangia chochote kifedha au kitaaluma iyo sio sawa.
 
Nadhani pia ujio wa utandawazi imekuwa changamoto kubwa, exposure ya mambo ya ngono imekuwa kubwa tofauti na miaka ya nyuma
Hili suala la utandawazi tumeshindwa kabisa kulidhibiti kuna upuuzi unaendelea uko mitandaoni. Kama tiktok mimi ndio sujawahi hata kuitumia kabisa maana video zote nazoziona zinatoka uko ni content za hovyo na kunadi umalaya tu
 
kuna harakati inasambaa sana mitandaoni siku hizi, inaitwa red pill

ni mambo ya wazungu wazungu

vijana wa kiume wanafundiahwa kuchukia wanawake, wanashawishiwa kwamba chanzo kikubwa cha matatizo yao ni wanawake

tuseme ni kama feminism, lakini kwa wanaume

sasa vijana wengi wanatizama haya maudhui kwenye simu janja zao

nadhani ndo chanzo cha kero unayoizungumzia vijana humu kuwa walalamishi sana
Afadhali umegusa msingi wa tatizo.

Watu wanalishwa maneno mtandaoni, wanaona wamekuwa ma wise pipo wanakuja kutafuta wafuasi.

SAsa unapoanzisha vita ya jinsia wakati tunapaswa kushirikiana sijui unataka nini iwe matokeo?

Hawa watu hujikuta akizaa mtoto wa jinsia anayoipiga vita anakuwa devastated kabisa, inamtafuna hadi utamhurumia.

Tunahitaji njia za kiafya za kuhusiana baina yetu.
 
Siungi mkono cheating haijalishi mhusika ni mwanaume au mwanamke. Point yangu ni kwamba bila kujali sababu ni ipi kupoteza nusu ya mali zako kwa mwanamke ambae hajachangia chochote kifedha au kitaaluma iyo sio sawa.
Hiyo pesa sio kwaajili yake, kiasi kikubwa kinakuwa kwaajili ya kuendesha maisha ya watoto. Na mkishakuwa wanandoa, kwanini unafikiri mwanamke hana haki ya hizo mali wakati anakupa urahisi wa wewe kufanya shughuli zako ukiwa na amani kuwa mambo mengine ya nyumbani yanakaa vizuri? Haya mambo hajaiweki yenyewe. Ni haki akapata nusu ya yote mliyovuna mkiwa pamoja, hata akiwa ni mama wa nyumbani
 
Kama alizikuta? na uhakika wa hiyo amani nani anayeutoa kwamba kulikuwa na amani, vipi kama ukosefu wa amani ndio ukapelekea mwanaume kutoka nje?
 
Kama alizikuta? na uhakika wa hiyo amani nani anayeutoa kwamba kulikuwa na amani, vipi kama ukosefu wa amani ndio ukapelekea mwanaume kutoka nje?
Hakuna sababu yoyote inayohalalisha mwanamme kutoka nje ya ndoa! Mke wako akiugua miezi na miezi hospitali (si inatokea?) Akipata stroke ni sababu ya mume kutoka? Aombe talaka ijulikane ndoa imemshinda. Akisaliti ndoa bado anaweza kushtakiwa mahakamani na hukumu ikatolewa.

Kama alikuta mali still zipo entitled kwa watoto anaowalea, labda kama waliwekeana mkataba kabla ya kufunga ndoa kuhusu mustakabali wa mgawanyo wa mali wakishindwana
 
Hiyo pesa sio kwaajili yake, kiasi kikubwa kinakuwa kwaajili ya kuendesha maisha ya watoto.
UNachokisema hapa sio kweli, iyo pesa ni gawio la mwanamke maana bado mwanaume anawajibika kitoa child support
Na mkishakuwa wanandoa, kwanini unafikiri mwanamke hana haki ya hizo mali wakati anakupa urahisi wa wewe kufanya shughuli zako ukiwa na amani kuwa mambo mengine ya nyumbani yanakaa vizuri? Haya mambo hajaiweki yenyewe. Ni haki akapata nusu ya yote mliyovuna mkiwa pamoja, hata akiwa ni mama wa nyumbani
Suala la mwanamke kuwa entitled kwenye mali za mwanaume kwa sababu anafanya kazi za nyumbani bado ni hoja yenye biased. Chakula anachopika na yeye anakula, nyumba anayofanya usafi na yeye anaishi hapo kwa maana ni win win hakuna anaemfanyia favor mwenzake hapo. Kama huyu mwanamke anatakiwa kupewa fidia ya huo mchango wake, kwanini mwanaume hapewi fidia ya gharama za kumpa makazi, chakula na matunzo ya bure uyo mwanamke? hauoni double standard hapo?
 
Hakuna sababu yoyote inayohalalisha mwanamme kutoka nje ya ndoa! Mke wako akiugua miezi na miezi hospitali (si inatokea?) Akipata stroke ni sababu ya mume kutoka? Aombe talaka ijulikane ndoa imemshinda. Akisaliti ndoa bado anaweza kushtakiwa mahakamani na hukumu ikatolewa.

Kama alikuta mali still zipo entitled kwa watoto anaowalea, labda kama waliwekeana mkataba kabla ya kufunga ndoa kuhusu mustakabali wa mgawanyo wa mali wakishindwana
Sasa kwa mtazamo huo ndio kataa ndoa wanapata point tatu, wanaona kwenye ndoa anayenufaika ni mwanamke for the sake of children, ninaamini kama sheria itabadilishwa ikasema mwanamke na mwanaume wakitalakiana mali zitakazogawanywa ni zile walizochuma pamoja, hata spidi ya wanawake kutaka kuolewa itapungua.

Nasema hivyo kwa sababu sheria imetengenezwa kumlinda mwanamke tu haijawa fair pande zote, yaani jambo likienda kwenye sheria inaonekana mwanamke ana haki na mwanaume hana katika hiyo sheria, lakini tunaona wanawake wanawabambikia wanaume watoto ndani ya ndoa, kuna sheria inasema lolote juu ya hilo, au ni mwanaume anatumia sheria yake na mwanamke anakosa nguvu, Mwanamke akizaa na mwanaume mwingine ndani ya ndoa mnasema kitanda hakizai haramu, ila mwanaume akizaa na mwanamke mwingine kachepuka
 
UNachokisema hapa sio kweli, iyo pesa ni gawio la mwanamke maana bado mwanaume anawajibika kitoa child support

Suala la mwanamke kuwa entitled kwenye mali za mwanaume kwa sababu anafanya kazi za nyumbani bado ni hoja yenye biased. Chakula anachopika na yeye anakula, nyumba anayofanya usafi na yeye anaishi hapo kwa maana ni win win hakuna anaemfanyia favor mwenzake hapo. Kama huyu mwanamke anatakiwa kupewa fidia ya huo mchango wake, kwanini mwanaume hapewi fidia ya gharama za kumpa makazi, chakula na matunzo ya bure uyo mwanamke? hauoni double standard hapo?
Great argument, ila tunasahau kwamba ndoa ni mkataba. Wakiingia kwenye hiyo taasisi, wanakuwa ni kitu kimoja, kila mtu anahaki juu ya mali zilizopo. Mfano, kwanini ikitokea mume akafariki na haacha mirathi, mali zinaenda kwa mjane wa marehemu na sio wazazi wake wala watoto kama wapo? Ni kwasababu wao ni wamoja. Labda itokee wamekubaliana kuweka mkataba kabla ya kufunga ndoa (pre nuptial agreement) kuwa mali zitakazo patikana kipindi ndoa ipo hai ndio zigawanywe au, kila mtu abebe alichochangia. Hiki ni kitu cha tofauti

Na kwa hii hoja ya pili, mama wa nyumbani anamchango wake mkubwa sana tu kwa huyo mume. Anasaidia kumtengezea mazingira rafiki ya yeye kutafuta mali jwa uwepesi. Sijui niiwekeje, lakini kila mmoja ananafasi yake ya kuchangia ustawi wa familia ambazo haziingiliani
 
Kama alizikuta? na uhakika wa hiyo amani nani anayeutoa kwamba kulikuwa na amani, vipi kama ukosefu wa amani ndio ukapelekea mwanaume kutoka nje?
Kwa characters za wanawake wa sasa na uhalisia wa maisha katika nyakati tulizopo hakuna hoja inayo-jistify mwanamke kupata nusu ya mali za mwanaume.

Huu utaratibu uliwekwa zamani sana ambapo mwanamke alikua na mchango wa moja kwa moja kwenye maisha ya mwanaume na walikua wote wanaanzia chini wakati hawana kitu.

Kwa maisha ya sasa ukisoma hoja za kwanini mwanamke apate huo mgao halafu ukizileta kwenye uhalisia hauoni connection yoyote.
 
wanasingizia watoto eti, kwenye hili la mgao wa mali sheria inawabeba tu na utashangaa watunga sheria hii ni sisi wanaume kuna mahali tumepiga chenga
 
Sasa kwa mtazamo huo ndio kataa ndoa wanapata point tatu, wanaona kwenye ndoa anayenufaika ni mwanamke for the sake of children, ninaamini kama sheria itabadilishwa ikasema mwanamke na mwanaume wakitalakiana mali zitakazogawanywa ni zile walizochuma pamoja, hata spidi ya wanawake kutaka kuolewa itapungua.

Nasema hivyo kwa sababu sheria imetengenezwa kumlinda mwanamke tu haijawa fair pande zote, yaani jambo likienda kwenye sheria inaonekana mwanamke ana haki na mwanaume hana katika hiyo sheria, lakini tunaona wanawake wanawabambikia wanaume watoto ndani ya ndoa, kuna sheria inasema lolote juu ya hilo, au ni mwanaume anatumia sheria yake na mwanamke anakosa nguvu, Mwanamke akizaa na mwanaume mwingine ndani ya ndoa mnasema kitanda hakizai haramu, ila mwanaume akizaa na mwanamke mwingine kachepuka
Daudi sijui nisemje, wanawake wanaoolewa kwa sababu za kusaka mali sikatai wapo, na wanafanya mahesabu makali sana kuhakikisha hawatoki mikono mitupu. Ila, hapo utamlaumu nani? Mwanamme ndio anayeamua aoe nani, sasa kwanini aijiongeze kuangalia ninmwanamke wa aina gani anampa jukumu la kuwa mama wa watoto wake kitabia, rafiki zake, ndugu zake? Sana sana kama mwanamme mwenyewe amejaaliwa kuwa na mapesa mengi. Upembuzi yakinifu unahitajika sana sana.

Na pia, wanawake na watoto ni makundi maalumu, na ni haki wakalindwa na kutetewa na sheria kutokana kwanza na tofauti iliyopo kibaiyolojia inayofanya wasiweze kufanya wanayofanya wanaume mf. Ikitokea vita unadhani watasomba wanawake wakapigane? Au wanaofanya kazi kuchimba makaburi na kuweka lami umewahi kuona sketi? (Najua wapo lakini <1%)
 
Great argument, ila tunasahau kwamba ndoa ni mkataba. Wakiingia kwenye hiyo taasisi, wanakuwa ni kitu kimoja, kila mtu anahaki juu ya mali zilizopo
Na hapo ndipo kwenye loopholes ambazo wanawake wanazitumia kupata mali kirahisi kutoka kwa mwanaume. Umekuja kwangu na nguo na vipodozi vyako tu halafu tukiachana uondoke na nyumba, seriously.!
Mfano, kwanini ikitokea mume akafariki na haacha mirathi, mali zinaenda kwa mjane wa marehemu na sio wazazi wake wala watoto kama wapo? Ni kwasababu wao ni wamoja. Labda itokee wamekubaliana kuweka mkataba kabla ya kufunga ndoa (pre nuptial agreement) kuwa mali zitakazo patikana kipindi ndoa ipo hai ndio zigawanywe au, kila mtu abebe alichochangia. Hiki ni kitu cha tofauti
Hapa umechanganya kidogo. Mume akifariki mke na watoto wana mgao wao, mali zitakua chini ya uangalizi wa mke kama watoto wakiwa wadogo lakini kama wameshafikia age ya mtu mzima wanapewa share yao
Na kwa hii hoja ya pili, mama wa nyumbani anamchango wake mkubwa sana tu kwa huyo mume. Anasaidia kumtengezea mazingira rafiki ya yeye kutafuta mali jwa uwepesi. Sijui niiwekeje, lakini kila mmoja ananafasi yake ya kuchangia ustawi wa familia ambazo haziingiliani
Nani anahalalisha huo mchango? Let say mke kachepuka maana yake kamsababishia mwanaume mfadhaiko wa akili kwaiyo kama mwanaume akitaka watalakiane basi ni tukiangalia haki mwanamke ndie anatakiwa kuwajabishwa kwa mali zake kugawanywa pasu kwa pasu kama anazo, au sio?
 
Back
Top Bottom