The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
- Thread starter
- #41
HahahFaida ni kupigana miti huku wazazi wenu wote wanajua kuwa watoto wetu wanapigana miti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahFaida ni kupigana miti huku wazazi wenu wote wanajua kuwa watoto wetu wanapigana miti
Kwa hiyo kuna ulazima vijana wakioana waandaliwe tisheti maridadi zilizoandikwa migongoni "MPIGA MITI"?Faida ni kupigana miti huku wazazi wenu wote wanajua kuwa watoto wetu wanapigana miti
Njoo unioeSubiri Posa,
Au na kuolewa pia hutaki?
Mimi sio mwanaume?Fainali uzeeni ,halafu raha ya maisha ni misukosuko ya hapa na pale kupata experience ya maisha mengine,kuwa na kampuni unayoongoza hata kama uko ulipo unaongozwa sasa wewe utakuwa mwanaume wa namna gani hata kuoa utaki ,wewe sio mwanaume ni something else jichunguze .Raha ya kuwa mwanaume ni kukabiliana na kila kitu regardless what?
Hizo mambo skiaga tuKatika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.😁😁😁
Huwa ni kisangaHizo mambo skiaga tu
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoana huko ?
Nifanyaje?
Umeongea ukweli mtupu, hii ndio maana wanaume tunakufa mapema.. mimi ndoa ndio source ya matatizo mengi. Oya nimeghairi kuoaNdoa inafaidisha mwanamke tu.kwa Mwanaume faida haifiki hata %0.5 kati 100%.ukitulizaakili vizuri utagundua ilo. Anza tu kufatilia mlolongo wenyewe unavyoanza kuanzia uchumba maisha ya ndoa,familia mpaka mwisho wenu wa maisha unavokua. utagundua kwanza Mwanaume wewe ni mtu wa kutoa zaidi kuliko mwanamke ,kwenye uchumba utatoa, Kwenye ndoa utatoa mahali, na Bado kwenye maisha ya ndoa utahudumia kwa mavazi,malazi,chakula, akiumwa jukumu lako, na Bado utahudumia ndugu zake🙄 na hayo yote utafanya kwa lazima haijalishi uchumi wako upoje🙄 mwanamke yeye ukiondoa sex hana kitu kingine Cha kukupa tofauti ya icho kwenye maisha yenu ya iyo ndoa.Na bahati mbaya akiona umeshindwa kutimiza izo huduma nyumban,yeye kama yeye hawezi kuzitoa ili kuleta usawa katika ndoa,zaidi atachofanya labda ni kukukimbia😭 au kuchapwa nje mwisho akuletee gono kaswende UTI na ukimwi ufe😁😁. Iyo sex yenyewe anayokupa ikaonekana ya maana sana ,ukichunguza vizuri utagundua yeye ndo anaihitaji zaidi kuliko wewe,na ndio mana kwanza anachelewa kulizika, vile vile kama akikupa afu ukawa unashindwa kumlizisha, isee vikao vitakaliwa vya kutosha,😂 ataanza dharau, itabidi sasa mwanaume majukumu yako yaongezeke ,kutoka kwenye kutafuta ugali, mavazi, matibabu mpaka kutafuta nguvu za kiume😡ili yeye alizike. Hata ao watoto inonekana sijui anakuzalia afu wanakua wa kwako na blabla nyingi ,kiuhalisia sio kweli kabisa,hao wataonekana wakwako kipindi wanaitaji huduma tu, amini na kwambia ukishamaliza kuwalea tu ,,,na kifo chako ujue hakipo mbali😭😭😭 utamwacha mkeo akiwa hai watoto wote wakimtumza huku na kauli mbiu ya "nani kama mama."ikichukua nafasi kubwa. Oweni vijan
Mm Dunga dungaKwahiyo wewe ni bikra au ndio chovyachovya
Atheist na una demu,
Wazee weko nao sijui wakoje, kwetu hulazimishwi kila mtu na mambo yakeee, hufatiliwi hata kwa kweliWazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
🤣🤣🤣Owa tu kijanaUmeongea ukweli mtupu, hii ndio maana wanaume tunakufa mapema.. mimi ndoa ndio source ya matatizo mengi. Oya nimeghairi kuoa
Usioe ila ukihitaji rfk nipo hapa nakusubiri🙄Umeongea ukweli mtupu, hii ndio maana wanaume tunakufa mapema.. mimi ndoa ndio source ya matatizo mengi. Oya nimeghairi kuoa
Pole sana rfk yangu,Ndoa inafaidisha mwanamke tu.kwa Mwanaume faida haifiki hata %0.5 kati 100%.ukitulizaakili vizuri utagundua ilo. Anza tu kufatilia mlolongo wenyewe unavyoanza kuanzia uchumba maisha ya ndoa,familia mpaka mwisho wenu wa maisha unavokua. utagundua kwanza Mwanaume wewe ni mtu wa kutoa zaidi kuliko mwanamke ,kwenye uchumba utatoa, Kwenye ndoa utatoa mahali, na Bado kwenye maisha ya ndoa utahudumia kwa mavazi,malazi,chakula, akiumwa jukumu lako, na Bado utahudumia ndugu zake🙄 na hayo yote utafanya kwa lazima haijalishi uchumi wako upoje🙄 mwanamke yeye ukiondoa sex hana kitu kingine Cha kukupa tofauti ya icho kwenye maisha yenu ya iyo ndoa.Na bahati mbaya akiona umeshindwa kutimiza izo huduma nyumban,yeye kama yeye hawezi kuzitoa ili kuleta usawa katika ndoa,zaidi atachofanya labda ni kukukimbia😭 au kuchapwa nje mwisho akuletee gono kaswende UTI na ukimwi ufe😁😁. Iyo sex yenyewe anayokupa ikaonekana ya maana sana ,ukichunguza vizuri utagundua yeye ndo anaihitaji zaidi kuliko wewe,na ndio mana kwanza anachelewa kulizika, vile vile kama akikupa afu ukawa unashindwa kumlizisha, isee vikao vitakaliwa vya kutosha,😂 ataanza dharau, itabidi sasa mwanaume majukumu yako yaongezeke ,kutoka kwenye kutafuta ugali, mavazi, matibabu mpaka kutafuta nguvu za kiume😡ili yeye alizike. Hata ao watoto inonekana sijui anakuzalia afu wanakua wa kwako na blabla nyingi ,kiuhalisia sio kweli kabisa,hao wataonekana wakwako kipindi wanaitaji huduma tu, amini na kwambia ukishamaliza kuwalea tu ,,,na kifo chako ujue hakipo mbali😭😭😭 utamwacha mkeo akiwa hai watoto wote wakimtumza huku na kauli mbiu ya "nani kama mama."ikichukua nafasi kubwa. Oweni vijan
Karibu DMUsioe ila ukihitaji rfk nipo hapa nakusubiri🙄