Ndoa ina faida gani ?

Ndoa ina faida gani ?

Fainali uzeeni ,halafu raha ya maisha ni misukosuko ya hapa na pale kupata experience ya maisha mengine,kuwa na kampuni unayoongoza hata kama uko ulipo unaongozwa sasa wewe utakuwa mwanaume wa namna gani hata kuoa utaki ,wewe sio mwanaume ni something else jichunguze .Raha ya kuwa mwanaume ni kukabiliana na kila kitu regardless what?
Mimi sio mwanaume?
 
Ndoa niii👇👇👇 wakamalia mmenielewa kwahy tumekubaliana kwa pamoja asanten kwa kunielewa
 
Attachments

  • Recorder_17122024_100246.jpg
    Recorder_17122024_100246.jpg
    176 KB · Views: 3
Ndoa inafaidisha mwanamke tu.kwa Mwanaume faida haifiki hata %0.5 kati 100%.ukitulizaakili vizuri utagundua ilo. Anza tu kufatilia mlolongo wenyewe unavyoanza kuanzia uchumba maisha ya ndoa,familia mpaka mwisho wenu wa maisha unavokua. utagundua kwanza Mwanaume wewe ni mtu wa kutoa zaidi kuliko mwanamke ,kwenye uchumba utatoa, Kwenye ndoa utatoa mahali, na Bado kwenye maisha ya ndoa utahudumia kwa mavazi,malazi,chakula, akiumwa jukumu lako, na Bado utahudumia ndugu zake🙄 na hayo yote utafanya kwa lazima haijalishi uchumi wako upoje🙄 mwanamke yeye ukiondoa sex hana kitu kingine Cha kukupa tofauti ya icho kwenye maisha yenu ya iyo ndoa.Na bahati mbaya akiona umeshindwa kutimiza izo huduma nyumban,yeye kama yeye hawezi kuzitoa ili kuleta usawa katika ndoa,zaidi atachofanya labda ni kukukimbia😭 au kuchapwa nje mwisho akuletee gono kaswende UTI na ukimwi ufe😁😁. Iyo sex yenyewe anayokupa ikaonekana ya maana sana ,ukichunguza vizuri utagundua yeye ndo anaihitaji zaidi kuliko wewe,na ndio mana kwanza anachelewa kulizika, vile vile kama akikupa afu ukawa unashindwa kumlizisha, isee vikao vitakaliwa vya kutosha,😂 ataanza dharau, itabidi sasa mwanaume majukumu yako yaongezeke ,kutoka kwenye kutafuta ugali, mavazi, matibabu mpaka kutafuta nguvu za kiume😡ili yeye alizike. Hata ao watoto inonekana sijui anakuzalia afu wanakua wa kwako na blabla nyingi ,kiuhalisia sio kweli kabisa,hao wataonekana wakwako kipindi wanaitaji huduma tu, amini na kwambia ukishamaliza kuwalea tu ,,,na kifo chako ujue hakipo mbali😭😭😭 utamwacha mkeo akiwa hai watoto wote wakimtumza huku na kauli mbiu ya "nani kama mama."ikichukua nafasi kubwa. Oweni vijan
 
Umeongea ukweli mtupu, hii ndio maana wanaume tunakufa mapema.. mimi ndoa ndio source ya matatizo mengi. Oya nimeghairi kuoa
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Wazee weko nao sijui wakoje, kwetu hulazimishwi kila mtu na mambo yakeee, hufatiliwi hata kwa kweli
 
Ndoa inafaidisha mwanamke tu.kwa Mwanaume faida haifiki hata %0.5 kati 100%.ukitulizaakili vizuri utagundua ilo. Anza tu kufatilia mlolongo wenyewe unavyoanza kuanzia uchumba maisha ya ndoa,familia mpaka mwisho wenu wa maisha unavokua. utagundua kwanza Mwanaume wewe ni mtu wa kutoa zaidi kuliko mwanamke ,kwenye uchumba utatoa, Kwenye ndoa utatoa mahali, na Bado kwenye maisha ya ndoa utahudumia kwa mavazi,malazi,chakula, akiumwa jukumu lako, na Bado utahudumia ndugu zake🙄 na hayo yote utafanya kwa lazima haijalishi uchumi wako upoje🙄 mwanamke yeye ukiondoa sex hana kitu kingine Cha kukupa tofauti ya icho kwenye maisha yenu ya iyo ndoa.Na bahati mbaya akiona umeshindwa kutimiza izo huduma nyumban,yeye kama yeye hawezi kuzitoa ili kuleta usawa katika ndoa,zaidi atachofanya labda ni kukukimbia😭 au kuchapwa nje mwisho akuletee gono kaswende UTI na ukimwi ufe😁😁. Iyo sex yenyewe anayokupa ikaonekana ya maana sana ,ukichunguza vizuri utagundua yeye ndo anaihitaji zaidi kuliko wewe,na ndio mana kwanza anachelewa kulizika, vile vile kama akikupa afu ukawa unashindwa kumlizisha, isee vikao vitakaliwa vya kutosha,😂 ataanza dharau, itabidi sasa mwanaume majukumu yako yaongezeke ,kutoka kwenye kutafuta ugali, mavazi, matibabu mpaka kutafuta nguvu za kiume😡ili yeye alizike. Hata ao watoto inonekana sijui anakuzalia afu wanakua wa kwako na blabla nyingi ,kiuhalisia sio kweli kabisa,hao wataonekana wakwako kipindi wanaitaji huduma tu, amini na kwambia ukishamaliza kuwalea tu ,,,na kifo chako ujue hakipo mbali😭😭😭 utamwacha mkeo akiwa hai watoto wote wakimtumza huku na kauli mbiu ya "nani kama mama."ikichukua nafasi kubwa. Oweni vijan
Pole sana rfk yangu,
 
Back
Top Bottom