Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Kuna uwezekano mkubwa aliyoyatarajia kutoka kwako hayapati kwa huu muda mfupi
 
POLE
KATAA NDOA KIJANA, NDOA NI UTUMWA
 
Uenda ana Mimba, so msome vizuri make her happy.Utaacha Wangapi??Hii ndo Dunia yetu na Wanaume tumeumbiwa Mateso,So Be strong
 
Pana watu Wana tabia ngumu sana kuishi nao ni hatari kwa afya ya akili unasemaje hawa
 
Ndiyo maana siku hizi watu wanashauri cohabiting kwa muda ya miezi 6 hivi . Hapo mtu utaweza kuzijua vizuri rangi halisi za mwenza wako .
 
Pana watu Wana tabia ngumu sana kuishi nao ni hatari kwa afya ya akili unasemaje hawa
Ulikuwa namuda wakutosha pamoja nae
Na ukayajua
Na bila kujali ukamchagua kuishi nae na shida zake izo zote
Mwanamke mshenzi unamjua hata akijificha tabia zake vipi
**** vichembe chembe unavijua uyu ni mshenzi na anaigiza.
Hapo ss tumeenda kwa njia ya kawaida

Kwa sababu ww kabla hujamuoa unajua WAPI ULIKUTANA NAE,UNAJUA ANAPENDA MAVAZI YA KISHENZI NAMNA GANI (mavazi tu yanatosha kumuelezea,mtu wa vikaptura ,vimini sana, migongo wazi,anamwendo wake fulan kujitingisha,maziwa anapandishagajuu, UNAJUA ROHO GANI INAMUENDESHA),ANAPENDA VIWANJA NAMNA GANI,NI MTU WASTAREHE NAMNA GANI, MARAFIKI ZAKE NI WATU WA NAMNA GANI,

Akikuficha yeye tabia basi angalia marafiki na watu anaopenda kukaa nao je ni watu wa mtindo gani.

USINIAMBIE WW UNATABIA GANI NA GANI WW KAA KIMYA ALAFU NIONYESHE MARAFIKI ZAKO TU NTAELEWA
 
Tukiwaambia ndoa ni jehanamu kwa mwanaume muwe mnaelewa
 
Sio wengi wanaoshinda ibadani wanamtafuta Mungu wengi uenda kutafuta waume.
Uchumbani huwa malaika ni hadi uwe na macho ya rohoni kuwatambua
 
Sio wengi wanaoshinda ibadani wanamtafuta Mungu wengi uenda kutafuta waume.
Uchumbani huwa malaika ni hadi uwe na macho ya rohoni kuwatambua
Mwanamke hata awe analala na kuamka kanisani,kama ni mshenzi unamjua.
Kama nilivyosema apo juu.

Ukitaka kwenda ndani zaidi
Angalia ata vitu anavyofatilia mtandaoni.
Anapenda vitu gani.

Ila kabla ya yote
MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU MWENYEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…