Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

 

Mi sijui nikoje?
Maisha yanisumbue hata nnaemmudu anisumbue?

Hamna njia na mlango viko wazi kwake kuondoka.

Mnapotoka ni karibu kuliko mnapokwenda fanya maamuzi mapema hata kama yana gharama gani!

Ila kingine, kemea mambo ambayo huyapendi mapema kuliko kuwa kimya tabia inazidi kukita mizizi mwishoe siku ukiamua kumkanya atakushangaa na pengine asibadilike

Hao viumbe huwa hawaonyeshi tabia zao wakati wa uchumba huficha makucha yao kiasi kwamba we kijana unahisi kama wazazi wanachelewa kuwapa baraka mkaishi pamoja.
Akishafika kwako kwamba mmekuwa mume na mke,
ndo kujihoji kama kwako kunaanza na kujuta pia!
 
nakuhakikishia, kwa akili yako utafeli tu, it takes God to save your marriage. hii imekuwa proven. kama vile tu shetan anavyoweza kukuletea hamu ya ngono ukashindwa hadi kujizuia ukanunua hadi malaya, hivyo hivyo anaweza kukuondolea hamu ya tendo kwenye ndoa au akakaa katikati yenu, wewe ukiwa vizuri mkeo hayupo vizuri and vise versa, na ugomvi unaanzia hapo. tusimpe shetani nafasi, akiingia tu lazima kuna kitu anaharibu.
 
Aisee nasikia harufu ya talaka nyingine.
 
Mbona hayo yote ni kawaida subiri phase two ndo utajue wanawake ni nini, rafiki yangu hu ni mwezi wa pili analala kwenye gari lake ila ndoa yake in miaka 4, hapo kwako hiyo inaitwa cooling break mechi bado kabisa.......
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hahahaha !

Hapo unatakiwa uvumilie lakini hakikisha unatumia maarifa zaidi ili umlainishe awe kama unavyo taka ,Usitumie nguvu anza kumfanyia tafiti vitu gani anakupendeza na nini changamoto na utafute suluhu ya changamoto hizo.

Unajua watu wanapo oana kila mtu anatoka na tabia za makuzi ya kwao au kwenye jamii yao hivyo si lahisi mkaswihi kwa halaka.

Lakini epuka kumfanyia mambo yasiyo faa na anapaswa kujua nini unapenda na nini hupendi mfanye kama rafiki mwisho atakuzoea pia atajua kuwa wanaume wapo hivi .

Baadaye maisha yatasonga .

Nakutakia kila lakheri kwenye safari ya maisha ya ndoa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…