Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ana mimba yako huyoJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
HahahaaKuna lisong limoja huwa linaimba huyoo ni chaguo lako chaguo lakoo, hata kama ni mweupe, hata kama ni mfupi....
Mimi nimeoa 2003. Ukihangaika kuridhisha hawa viumbe utapoteza channels za maisha, wenyewe hawajui wanataka nini, ukiwa na pesa maana yake mpambanaji, watakuambia humpi muda wa kutosha, atatembea hadi na watu wasio na hadhi inayofanana nae, ukijifanya kumpa muda mtakosa pesa atatembea na wenye pesa kukidhi mahitaji hata yasio muhimu kwao ili familia yake imuheshimu. Nilishapoteza hadi kazi kwa stress za mke yeye anaongeza elimu na vyeo kazini kwake, nilipokuja kukaa sawa miaka mitano ishapotea bila la maana kwa stress, kuwa makini sana. Muhimu kuwa na maamuzi kama mkuu wa kaya, kuna demokrasia mnapokua wapenzi, ikishakua ndoa udikteta lazima, kwani hata jambo likienda mrama lawama za jamii zitakuangukia wewe, mara anamlaza njaa, mara kashindwa kulipa kodi kisa stressBro unanipoteza
Mwanaume ambaye akili zake anawaza K ndio mtumwa wa ndoa siku zote hata kwenye mapenzi wanaongoza kwa kuhonga na mwisho wa siku wanawake wanawona wajinga tu.Watu kama nyie ndio mnababaishwa na wanawake kisa mnaabudu k.
Tena namshauri wawapelekee moto hasa Ili mpate akili
🤣🤣Hahahaa
Inaonekana na wewe ulikuwa ni wale wale.....hongera kwa kuzinduka.Mimi nimeoa 2003. Ukihangaika kuridhisha hawa viumbe utapoteza channels za maisha, wenyewe hawajui wanataka nini, ukiwa na pesa maana yake mpambanaji, watakuambia humpi muda wa kutosha, atatembea hadi na watu wasio na hadhi inayofanana nae, ukijifanya kumpa muda mtakosa pesa atatembea na wenye pesa kukidhi mahitaji hata yasio muhimu kwao ili familia yake imuheshimu. Nilishapoteza hadi kazi kwa stress za mke yeye anaongeza elimu na vyeo kazini kwake, nilipokuja kukaa sawa miaka mitano ishapotea bila la maana kwa stress, kuwa makini sana. Muhimu kuwa na maamuzi kama mkuu wa kaya, kuna demokrasia mnapokua wapenzi, ikishakua ndoa udikteta lazima, kwani hata jambo likienda mrama lawama za jamii zitakuangukia wewe, mara anamlaza njaa, mara kashindwa kulipa kodi kisa stress
naam sikupingi.hata lil wayne kuna ngoma moja aliimba . Katika hiyo ngoma anasema ' After i cum, i came to my sense' jina la hiyo ngoma imenitoka kidogo.After sex, the truth is revealed
Hao ni wajinga wanatakiwa kupelekewa moto na wanawake Hadi akili zikae sawa.Mwanaume ambaye akili zake anawaza K ndio mtumwa wa ndoa siku zote hata kwenye mapenzi wanaongoza kwa kuhonga na mwisho wa siku wanawake wanawona wajinga tu.
Hizi Nyuzi zinapostiwa na wale jamaa wa Kataa Ndoa.Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Very true.Hao ni wajinga wanatakiwa kupelekewa moto na wanawake Hadi akili zikae sawa.
Ndoa ni Kwa wanaume wenye akili tuu?
Uko sahihi.Kama anakupoteza, kwanini umeleta hii mada humu? Au haujaelewa anamaanisha mrudishe kwao.
Mimi nashauri ufanye maamuzi ili ashike adabu na ujue kama aliingia kwenye ndoa kuonekana kaolewa Tu au laaaah!! Na kama ana bwana mwingine tangu unafahamu tu.
N.b.Mwanamke anayekupenda hasingekuwa hivyo kama wewe hauna makosa kwake.. fikra zako ziende nje ya boksi. Pole
Labda mimba inatungwaJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Perfect: Zero DramaUko sahihi.
Mwanamke akikupenda hakutakuwa na drama yoyote.
Kumbe una akili nzuri hivi. ....nakuonaga kule mtani wangu kama vile.......Hongera.Kama anakupoteza, kwanini umeleta hii mada humu? Au haujaelewa anamaanisha mrudishe kwao.
Mimi nashauri ufanye maamuzi ili ashike adabu na ujue kama aliingia kwenye ndoa kuonekana kaolewa Tu au laaaah!! Na kama ana bwana mwingine tangu unafahamu tu.
N.b.Mwanamke anayekupenda hasingekuwa hivyo kama wewe hauna makosa kwake.. fikra zako ziende nje ya boksi. Pole