Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Hilo trela akijifungua ndio utajuta zaidi it either now or ufe mapema Kwa stress wkt mwenzio kwake ni sawa.
Kingine maybe anakudekea
 
Ndoa na kushauri usiingize watu kabisa fanya maamuzi wewe mwenyewe maumivu unàyapata wewe na uzito unaubebe wewe raha unazijue wewe, hamna mtu wakukusaidia kwenye ndoa yako pambana kivyako kama huna mali teme huo mzigo mapema yanao kuja mbele yatakuzidi usimuonee huruma
 
Mbususu anatoa?
 
Bro unanipoteza

Kama anakupoteza, kwanini umeleta hii mada humu? Au haujaelewa anamaanisha mrudishe kwao.

Mimi nashauri ufanye maamuzi ili ashike adabu na ujue kama aliingia kwenye ndoa kuonekana kaolewa Tu au laaaah!! Na kama ana bwana mwingine tangu unafahamu tu.

N.b.Mwanamke anayekupenda hasingekuwa hivyo kama wewe hauna makosa kwake.. fikra zako ziende nje ya boksi. Pole
 
Hii nimeielewa
 
Kuna mawaidha nilisikiliza yanasema
Miez sita had 12 ya mwanzo kwenye ndoa sio ya kuachana ni Muda wa kusomana na kuzoeana,kujua namna Bora na Nzuri ya Kuishi na mwezi wako,ukumbuke mmelelewa kwenye familia mbili tofauti hamuwez kulingana kirahisi
Hao watoa mawaidha wenyewe wa siku hizi wanawaacha wake zao miezi 2 tu.
 
Bro mkaze vizuri mkeo huu ndo ushauri wangu ukiufanyia kazi utakuja kunishukuru
 
Hayo ni makosa na tabia zinazo vumilika na mnaweza kurekebishana.
Si ni binadam bana lazima awe na mapungufu, kabla ya kuwaoa tutegemee kukutana na mapungufu mengi waliyo yaficha kabla.

Lisilo sameheka ni kukucheat akifanya hilo kosa usimsamehe milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…