Hekima hii tunashindwa kujua mapema.
Ukipata mke mwema umepata chombo kilicho bora.
Utajiri wa mwanaume ni amani ya moyo
Mithali 12:4
[4]Mwanamke mwema ni taji ya mumewe;
Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
Mithali 31:10-11,28-30
[10]Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
[11]Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
[28]Wanawe huondoka na kumwita heri;
Mumewe naye humsifu, na kusema,
[29]Binti za watu wengi wamefanya mema,
Lakini wewe umewapita wote.
[30]Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili;
Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Na MWANAMKE ayaesoma ii
Jua kuwa HATA ULALE NA KUAMKA KANISANI,WAKUPE UZEE WA KANISA, NA SITI YA MBELE KANISANI,.
KAMA HAUMSIKILIZI NA KUMTII MUMEO NYUMBANI HUTAKAA KAMWE uione mbingu.
Io ni kulingana na biblia.
Wengi wanajiita wakristo.
Lakini maisha yao ni bora wapagani.
Biblia inasema MBINGU YA MWANAMKE IPO KWA MUMEWE NA KATIKA KUMTII SANA MUMEWE.
Sara alimtii sana ibrahim kama Mungu wake.
HAWA ASINGEDANGANYWA NA NYOKA KAMA ANGEDUMU KUKAA KWA ADAM NA KUMSIKILIZA.
Alidanganywa alipojifanya anaenda mbali na uongozi wa mumewe
NA MWANAUME YOYOTE ASIEMTAWALA MKEWE NA KUMUONGOZA KWENYE NJIA ZA HAKI, HUYO ATA AJIITE MTUME NA NABII HATAKAA AIONE MBINGU KAMWE.
Mungu alimpa uongozi mwanaume juu ya mwanamke ili amuongoze,
Mwanaume hupaswi hata umruhusuu mkeo avae mavazi ya kishenzi.
Na mkeo kuvaa mavazi ya kishenzi, ni hukumu yako.
Ndoa ni ngumu
Mitume walisema nibora tusioe kama ndio hivi