Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

Ahahahahah..hata mwaka wa 3 bado anaweza akawa ana enjoy tu, mimi mwaka wa 10 ndio yalianza na yalivyoanza hata hayaku take long , mara tu , Mbwangalaaaaaa!!!!.
KAma kabat la vyombo vya udongo likianguka!. 😂
Sasa miaka 10, umekula raha za kutosha sana, ukiona anakubadilikia unamuacha tu, wanatenganishwa mapacha waliozaliwa vichwa vimeungana itakuwa nyinyi. Amani ya moyo wako ndio kitu kikubwa muhimu cha pili baada ya afya yako..
Ulioa ili kupata tulizo la nafsi, ukiona ndoa imekuwa chanzo cha kutoweka amani, muache tu mzee, utapata mwingine, duniani kuna wanawake zaidi ya bilioni 3 sijui.
 
Attachments

  • Screenshot_20241125_121841.jpg
    Screenshot_20241125_121841.jpg
    81.5 KB · Views: 3
Sasa miaka 10, umekula raha za kutosha sana, ukiona anakubadilikia unamuacha tu, wanatenganishwa mapacha waliozaliwa vichwa vimeungana itakuwa nyinyi. Amani ya moyo wako ndio kitu kikubwa muhimu cha pili baada ya afya yako..
Ulioa ili kupata tulizo la nafsi, ukiona ndoa imekuwa chanzo cha kutoweka amani, muache tu mzee, utapata mwingine, duniani kuna wanawake zaidi ya bilioni 3 sijui.
Ahahahah.. we jamaa unajua kutia moyo kama mnyakyusa vile 😂😂😂.
Sema sasa kinachonitatiza ni watoto, nimejaribu sana tuyaweke sawa japo yeye ndio mzinguaji ila yeye kashikilia msimamo kuwa "kwasasa nimechoka"
 
Katika ndoa, swala la kufurahia ndoa ama kutokuifurahia, hilo linategemea na wanandoa menyewe wanavyoishi, matendo yao, wanavyochukuliana, na imani zao pamoja na nia zao! Kama wanandoa ni pasua vichwa, mmoja wao ama wote, hapo lazma moto uwake, lakn mm siamin sana kuwa kama ndoa ni moto endapo wanandoa hamna mambo mengi
 
Ahahahah.. we jamaa unajua kutia moyo kama mnyakyusa vile 😂😂😂.
Sema sasa kinachonitatiza ni watoto, nimejaribu sana tuyaweke sawa japo yeye ndio mzinguaji ila yeye kashikilia msimamo kuwa "kwasasa nimechoka"
Kwakuwa yeye amesema amechoka, muache mzee, mpige STRAIGHT RED CARD.
hao watoto wana umri gani na ww unatakaje, moe masharti yako, nakupa talaka, ila watoto 1,2,3.

Mwanamke akitaka talaka apewe papo kwa papo.
 
Back
Top Bottom