Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Sasa kaka yangu,Dec 05 natimiza miaka 19.....nioe mapema yote hii mimi bado mdogo lakini hata uvulana sijauvunja.Oa dogo.
🤣
Jf inanifurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kaka yangu,Dec 05 natimiza miaka 19.....nioe mapema yote hii mimi bado mdogo lakini hata uvulana sijauvunja.Oa dogo.
Kabisa!!! Ni pale shetani anaoa malaika halafu malalamiko wanatuletea hapa.Hao wanaosema ndoa chungu huenda hawakuchagua chaguo sahihi
Walikurupuka! Ndoa traam dyadyaa
Leo=simba ( inatamkwa lio)Hilo jina ni herufi ya mume wangu nimechanganya na za watoto wangu. Asante
Usipolipiza itakuwa tam sana niaminiHata akichepuka haibadilishi chochote ndoa itaendelea kuwa ya Raha
Ahahahahah..hata mwaka wa 3 bado anaweza akawa ana enjoy tu, mimi mwaka wa 10 ndio yalianza na yalivyoanza hata hayaku take long , mara tu , Mbwangalaaaaaa!!!!.Subiri mwaka wa 3 hadi wa tano utapata la kuongea
Shukrani kaka, nanyi mbarikiwe mkuu.Abarikiwe sana Mkeo na Uzao wako.
Sasa miaka 10, umekula raha za kutosha sana, ukiona anakubadilikia unamuacha tu, wanatenganishwa mapacha waliozaliwa vichwa vimeungana itakuwa nyinyi. Amani ya moyo wako ndio kitu kikubwa muhimu cha pili baada ya afya yako..Ahahahahah..hata mwaka wa 3 bado anaweza akawa ana enjoy tu, mimi mwaka wa 10 ndio yalianza na yalivyoanza hata hayaku take long , mara tu , Mbwangalaaaaaa!!!!.
KAma kabat la vyombo vya udongo likianguka!. 😂
Uzi tayari
Ahahahah.. we jamaa unajua kutia moyo kama mnyakyusa vile 😂😂😂.Sasa miaka 10, umekula raha za kutosha sana, ukiona anakubadilikia unamuacha tu, wanatenganishwa mapacha waliozaliwa vichwa vimeungana itakuwa nyinyi. Amani ya moyo wako ndio kitu kikubwa muhimu cha pili baada ya afya yako..
Ulioa ili kupata tulizo la nafsi, ukiona ndoa imekuwa chanzo cha kutoweka amani, muache tu mzee, utapata mwingine, duniani kuna wanawake zaidi ya bilioni 3 sijui.
Una akili sanaaa🙌🙌Siku zote nawashangaa wanaolalamika kuhusu ndoa.
Ndoa kwanza sio gharama labsa utake mwenyewe.
Hioz laki laki unazohonga mpe mkeo kama zawadi tu uone moto wake.
Hivyo vizawadi unavyopelekea michepuko tena yenye wanaume wengine kibao mpelekee Mkeo uone moto wake.
Kwenye ndoa zenu kuna mabebi zetu so tumekaa palee twasubiri mchokane tuwapateHata mwaka Bado ila yajayo yanafurahisha 😊
Kwakuwa yeye amesema amechoka, muache mzee, mpige STRAIGHT RED CARD.Ahahahah.. we jamaa unajua kutia moyo kama mnyakyusa vile 😂😂😂.
Sema sasa kinachonitatiza ni watoto, nimejaribu sana tuyaweke sawa japo yeye ndio mzinguaji ila yeye kashikilia msimamo kuwa "kwasasa nimechoka"
Inategemeana na unaekutana nae sio kila ndoa ni mbaya wengine wanaoa na kuolewa na baraka nd zinafungukaKwa kizazi hichi cha haki sawa ndoa haina maana wala raha tena.
Madogo wako 13, 9, 6 na 2 yearsKwakuwa yeye amesema amechoka, muache mzee, mpige STRAIGHT RED CARD.
hao watoto wana umri gani na ww unatakaje, moe masharti yako, nakupa talaka, ila watoto 1,2,3.
Mwanamke akitaka talaka apewe papo kwa papo.