Ndoa na Mirathi: Nafasi ya Mahakama ya Kadhi kwa Wanawake

Status
Not open for further replies.
Zittos haters yaani you cant help yourselves mko very emotional na blind damn!

sio Zitto haters
binafsi i will vote for him kama atagombea urais
but hainizuii kumkosoa au kumzungumza kuhusu misimamo yake
Zitto in my opinion yuko way average kiuongozi
but tunamuona among the best kwa sababu majority wa viongozi tulio nao
hawafai hata kuongoza kata.....
kwa hiyo ubora wake unaonekana kwa sababu wengi ni wabovu
hakuna fair competition...
 
BR,

Ukichukulia mantiki ya kuwa Serikali fedha zake ni haramu kwa hiyo hazifai basi usitembee barabarani, usilipe kodi, usitake jambo lako lolote la kiserikali ufanyiwe nao. Hiyo ni kitu haiwezekani.

Inatakiwa hizo hizo fedha nasi tupewe au kusiwe na misaada yoyote kutoka Serikalini kwenda taasisi za kidini. Na sisi tunapiga hesabu za walipa kodi Waislaam, ikiwa watatupa zaidi ya hizo basi tutazirudisha, lakini wakitupa chini ya fedha ambazo tunalipia kodi, tunajuwa fungu letu linatoka kwenye fedha yetu ya halali.
 

kila nikisoma post zako hapa nabaki kukuonea huruma tu..hauna pakutokea leo!
 

kila unapozungumzia Mou huwa sioni point ya msingi zaidi ya mashindano ya kitoto...yani unachopigania kila siku ni 'hatukubali wanyang'anywe ili tukose wote' na sio inabidi na sisi tujipange tupate.
 
Kama nilivyokwisha sema, MoU NI ISHU NJE YA HII MADA.Haihusiano na uanzishwaji wa mahakama za Kadhi.

Kwenye suala la mahakama ya Kadhi, nachukua msimamo wa Serikali ambapo MH.Rais, na viongozi wengine wa Serikali waliojadili na kuona busara ni kuachia suala hili liwe mikononi mwa Waislam wenyewe.

Kwamba naingia mtego wa wakristo, sijui kama ninauingia.Nina akili yangu timamu, nina uelewa wangu na pia ninatetea kile ninachoamini hata kama kitakuwa tofauti na wengine.
Kuna mwanazuoni mmoja aliwahi kusema kuwa, kama wote tutafikiri sawa, basi kuna ambaye hafikiri bali anadandia fikira za wengine.
 

Ungeliiweka hoja yako vizuri basi tungelikujibu vizuri but ukiiweka katika mipasho inakuwa ngumu sana kupata jibu murua. Kwanza nianze kujibu hoja kwa kukuomba ujue kuwa katika Quran na Fiqhi kuna kauli za uislamu na vile vile waislamu. Ukishaweza kutofautisha baina ya uislamu na waislamu ndio utaweza kujua kuwa uislamu haya yote unayobeza yana walakini. This is similar to dini zengine mfano ukristo kuna wakristo na ukristo ni vitu viwli vina mtazamo tofauti. Ukiwa unayazungumza haya kwa kuyatofautisha nafikiri utaweza kufahamu umuhimu wa mahakama ya kadhi.

Tukirudi katika nafasi ya mwanamke Uislamu umempa mwanamke nafasi kubwa sana mfano, Usulul fiqhi inasema mwanamke hawezi kuolewa bila ya ridhaa yake. Na zipo hadithi mtume SAW alikuwa akiwaambia maswahaba kuwa umeshapata ridhaa ya mwanao wa kike ndipo ndoa inafungwa. Mfano mwengine, mtume SAW alikuwa anasema tumuangalie mama kwa jicho la huruma zaidi mara tatu ya baba yetu. Zaidi tukisoma tunaona kuwa mtoto wa kike akiachwa na mumewe basi anatakiwa kurudi atizamwe kama alivyokuwa mwari na wazazi wake na ikiwa wazazi wameshafariki basi mtoto wa kiume ndani ya familia jukumu linahamia kwake au wajomba na baba zake wadogo au wakubwa. Vile vile uislamu umemtukuza mwanamke kwa kumpa heshima yake kwa kuweka utaratibu wa mwanamke asiwe anatembea mtupu kama alivyozaliwa au akiwa hajavaa mavazi ya heshima. Mwisho kabisa Uislamu umemtukuza mwanamke kwa kumshushia sura ya kwake peke yake nayo ni suratul mariam ambapo sura nzima alisifiwa mwanamke huyu kwa uchamungu wake na mmungu akituamrisha tumfuate.

Now the issue ya mahakama ya kadhi ni utekelezaji wa sharia za kiislamu chini ya quran tukufu na sunna za mtume muhammad SAW. Sheria ambazo waislamu tunazifuata naturaly kwani isingelikuwa hivyo basi tusingelijenga msikiti hata mmoja nchini. Likewise, Sheria za kiislamu zimeundwa ili ziwahusu watu maalum ambao ni waislamu ambao waislamu hao wanafuata utaratibu fulani wa maisha. Sasa nini neno sheria kitaalamu ni taratibu zilizowekwa na watu wa jumuiya fulani kuweka na kudumisha amani na utulivu. Vile vile sheria zimewekwa tuwe watu wastaarabu. Bila ya sheria wanaadamu wangelikuwa wanyama fulani. Sasa mahakama ya kadhi ni moja ya vyanzo vya sheria na jamaa ya watanzania kubwa (according to CIA muslims are the majority in Tanzania with an estimated % of 36). Lakini inasikitisha juu ya wingi wao wamekosa mahakama yenye kuweza kutatua na kutekeleza mahitaji yao ya kisheria hasa katika mirathi na ndoa. Worse of them all waislamu ni walipaji kodi wa serikali yetu hii lakini wanakuwa hawapati huduma ya kisheria of which they are paying it for. Otherwise muwaambie hamuitaji kodi za waislamu.

Now coming to your point kuhusu waislamu I absolutely agree with what you are saying. But vile vile naelewa mantiki ya logic ya quran kuruhusu kwa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja IKIWA NI MTU MUADILIFU. Cases nyingi zimetokea wanawake kukimbia ndoa zao kisa wanashindwa kutimiza wajibu wao kama wake. Vile vile wanawake wengi wamekuwa ni watu tasa kwa bahati mbaya. Worse enough kuna aina za wanawake wengine wana matatizo ya kisaikolojia na tendo la ndoa huwafanya walichukie either kutokana na mila zetu potofu au nini? Sasa cases kama hizi shows mantiki ya kuoa mke zaidi ya mmoja. Kwani kama ni mtu muadilifu basi kwa uhakika atatimiza wajibu wake kote. Je kuna ubaya gani katika hilo???

Kuhusu matendo ya waislamu infidelity iko hata kwa wakristo tena sana. Mie niko safari huku niliko na mkristo mmoja anavamia hadi wachina, wafilipino, wazungu wakati ni mtu baba na watoto sita. Mzee huyu anaheshima zake lakini anamsaliti mkewe wa ndoa. Namshukuru mungu sijawahi kumsaliti mke wangu tangu nimuoe na wakati mwengine huwa niko nje ya nchi miezi 6 hadi 9. Je what do you explain about that? Narudia tena jua kutofautisha baina ya waislamu na uislamu.

Auf bidahsein Nilikuwapo!!!!!
 
Hivi niwaulize.. kwa nini kila siku hapa lazima mtafuta mada inayohusu Waislaam wakati hakuna mada hata moja inayowahusu Wakristu... swala la Mahakama ya Kadhi mnalijengea ngome kana kwamba sijui waislaam wamewafanyia kipi tarabi. Nyie mchome misahafu, muwavue Hijabu wanawake zetu, mtuite dini ya mashetani, nchi zao zivamiwe na wakijilinda wanaitwa magaidi ili mradi basi Uislaam umekuwa tishio kubwa sana ktk maisha yenu maanake sioni mkiwafuata wahindu, Mabudha isipokuwa waislaam tu popote walipo..

Heee! Halafu tukisema Ukristu ni imani ya WATU mnachukia maanake sidhani kama hili lipo ktk biblia kwani nijuavyo biblia inasema mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe...Je, haya ndio mapenzi yenyewe kweli....Ama kweli mafuriko yanatokea sii kwa bahati mbaya tumezidi roho mbaya!
 

Tatizo Mkandara ndugu yangu ni chuki na husda hamna lengine au kwa jina lengine Islamiphobia na Mswahili syndrome zinawasumbua achana nao. Mie siku hizi nimeacha kuchangia JF kwani I am wasting my time watoto wamekuwa wengi na watu wenye chuki bora niwe msomaji tu
 

Swadakta ni fardhi kuwa na mawazo na fikra tofauti lakini yote yakiwa na lengo la kujenga na si vinginevyo..

Swala la MoU linajirudia kwakuwa wenzetu (wakristo) na hata msimamo wa serikali kwa sasa unasema waislamu waanzishe wenyewe kisa wanaogopa "financing scheme and its legality" MoU ni precedent tosha kwamba serikali inaweza kufinance shughuli za kidini..ok

Sasa wewe tueleze how can mahakama ya kadhi become legal and how will it be financed??

Besides we have moral authority kudai serikali i finance mahakama ya kadhi kwasababu kazi ya hakimu wa kadhi courts ingefanywa na hakimu wa serikali sasa unaone hii ni goverment responsibility kuna shida gani serikali i-kiestablish average cost per case na wakawapa kadhi courts funds according to the number of cases???

Pamoja na kwamba unamawazo tofauti lakini umeegemea upande wa adui ambaye Allah "alishasema hawatakuwa radhi na waislamu hadi tuache kufuata amri zake".
 

Mkuu unafikiri chuki zitaiisha kwa kuzira kwako; walikuwepo wapinzani 1400 yrs, wako leo watakuwepo siku zijazo ndio maana kuna watu motoni na watu wa paradise..
 
kila unapozungumzia Mou huwa sioni point ya msingi zaidi ya mashindano ya kitoto...yani unachopigania kila siku ni 'hatukubali wanyang'anywe ili tukose wote' na sio inabidi na sisi tujipange tupate.

Hutaona point kwasababu una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikie nk..

Hakuna kujipnga ili kuibia wananchi, unajisifia kuiba mali za umma huku una charge consultation fee, diagnosis fee equals to any private hospital?? hiyo ni biashara isiyohitaji hela ya umma ukiwemo yangu..kwa hiyo hatutakaa kimya wakati kanisa linadhulma hela zangu BIG NO..tutapiga kelele kama ambavyo tunapiga kelele kuhusu RICHMOND na EPA..
 
...........kwa hiyo hatutakaa kimya wakati kanisa linadhulma hela zangu BIG NO..tutapiga kelele kama ambavyo tunapiga kelele kuhusu RICHMOND na EPA..

Wapi wewe Topical umepiga kelele kuhusu RICHMOND na EPA .


Nii vizuri usipoteze hii mada . Maana sasa unaonekana kutaka kuigemeza kwenye MoU ya Kanisa . Kuhsus "wenzenu" wakristu eti wanaogopa financing scheme sio kweli. issue ipo Kisheria.

Nilikuuliza swali kwenye therad yao ya "only intellectual " Je Wajaruo na wahatya na makabila mengine wakitaka au kuomba Sheria zao za mirathi ziingizwe kwenye mfumo wa Mahakama kuu ya Tanzania wewe kama ,mwanasheria mkuu uko tayari kumshaurii Rais akubali ? Ukajibu Its wrong kulingansha Uislam na wajaruo au wahaya. Nilitegemea mtu anayetetea kitu hicho aseme sawa tu hakuna shida

Lakini msipoteze hii mada ili tujifunze n kuelewa zaidi lakini issue ya kadhi sio cost issue ni ya sheria zaidi . Na hii mada imeletwa kwenye siasa mhhh tuone
 
Jamani hii mada ilikuwa inaenda vizuri tu. Na inalengo la kuonesha kuwa Uwepo wa mahakama za kadhi kutanufaisha wanawake wa kiislam. Tujaribu kurudi kwenye hoja kama tunaweza. Wengine tunajifunza hapa na hasa kutoka kwa mwamke wa Kiislam ambaye hazungumzi kwa ajili ya kushindana kati ya Waislam vs Wakristu. Tumezoeamara nyingi kuchangia hoja kwa minajili ya dini zetu. Hatutaki hata kuangalia yule mtu wa dini nyingine anauliza nini au abasema nini. Sote tunajua wapo watu hapa ambao hawawezi kujadiliana bila mashindano, kejeli au vijembe. Tuwaepuke.
 

Mkandara,

Hii mada haijaanzishwa na hao Wakristo unaowalaumu, nadhani ni vizuri kuweka record straight kabla ya kulaumu.
 
Mkuu W malecela,ukweli umetunyima haki ambao hatukuona mjadala huo, hapa ume assume as if wote tuliongea/sikia maongezi yako na huyo kibopa wa serikali. Inawezekana kweli Mh Zuberi alifanya jambo la kupongezwa lkn laiti ungetuwekea inshu nzima kinaga ubaga ingesaidia sana kuchambua na kuchangia na kucomment nasi kwa mitazamo yetu! anyway,,,
 

Jibu linabaki lile lile kuwa huwezi kulinganisha hukumu za kihaya na kiislam??

a. Uislamu hauna kabila ni dini ya kabila zote na rangi zote
b. unaweka assumptions (wakiomba) kwa hiyo hiyo line of thinking siyo sawa) ..hawajaomba pengine hawataomba hadi milele kwasababu ni codified rules, no followers unlike ISLAM.
c. uislam ni dhambi kutohukuhukumiwa kwa mujibu wa Qur'an sidhani kama ni dhambi kutokuhukumiwa kihaya??
 

a. Uislamu hauna kabila ni dini ya kabila zote na rangi zote

Na Wala kabil halina dini. Vile vile Ni kosa kusema usilam ni dini ya Kabila zote Uislm ni uislam ma ulivyo ukristo .Uhaya , Uzaramo, Unymwezi ni kabila .So dini na bola Hizi ni demgrphic defition tfauti kabisa. hauna kimoj kiko ndani y ingine

Na kama kimoja kuwa ndani ya kingine basi ni utmaduni wa kabila ndio unameza dini Ndio maana utaona kwenye dini zetu kuna vitu watu tunafanya au kufuata n kuyaishi lakini ni utaratibu ulitokanana na utamduni wa makbila fulani na sio dini. Naturally kba hujawa muislam, Mrstu unakuwa mnyamwezi, mzaramu msambaaa.

b. unaweka assumptions (wakiomba) kwa hiyo hiyo line of thinking siyo sawa) ..hawajaomba pengine hawataomba hadi milele kwasababu ni codified rules, no followers unlike ISLAM.

Nakuuliza tena wewe kama mwanasehria Mkuu wa serikali wajaruo wanakuja na hoja sheria zao ziingizwe kwenye mfum wa mahaka y serikali. Utamshauri nini Rais. Toka wenye kona ya imani yako toa jibu la ki intelectual la kisheria la kitaifa .Ni wazi jibu utakalo toa ukiacha ushabiki halitofautini na lile alilotoa JK.

Makabila yetu hayaitaji followers unlike dini. Makabila Ni natural. Mimi nazunguza kabila langu na sijafundishwa darasani. kam niivyofundishwa imani ya kiristo. Na wewe nadhani ni hivyo hivyo unless uniambie wewe base ya idetity yako inaanzia kwenye dini. Itakuwa ajabu sana

c. uislam ni dhambi kutohukuhukumiwa kwa mujibu wa Qur'an sidhani kama ni dhambi kutokuhukumiwa kihaya??
Ndio imeshatolewa hoja kwa nn muendelee kutenda dhambi ya kutohukumiana kwa vgezo vya dini wakati sheria ya JMT kutambua ibada hiyo ipo. Mbona makundi mengine yanazo sheria hizo na yanatumika.

Kwenye makabia hakuna dhmabi dhambi ni dini .Huko wenye makabila kuna vitu wenyewe wanaita Mikosi. So ni kiasi cha muhusika kuamua tu sheria gani anaona itamtendea haki atumie. Kuna wajuro mzee mja alishiwa hata uzikwa kwa mwezi mzima sababu ya kesi kama hizi. Wazee wanataka mambo yaamuliwe kimila(kikabila) na mke anataka mambo yaamuliwe kwa taratibu za kiserikali.

Serikali Makini hawezi kufunga mlango wa kutoa haki kwa mujibu wa katiba ya JMT kama muhuska anaona mahakama ya kadhi au mahakama ya wajaruo au mahaama ya wahaya au mahakama ya wakristo haitmtendea haki.
 

Sijaelewa unachosema hapa

a. Huwezi kulinganisha sheria za makabila na sheria za uislam

b. Unaendelea kuongea assumption kwamba wajaluo wataomba??? wakiomba??? hawajaomba hawataomba kwasababu hawana hiyo sheria na kama ipo hakuna anayefuata unlike waislamu wajaluo au makabila mengine ambayo yanafuata uislamu na siyo mila za kabila zao (besides kama wapo wanaofuata mila zao ambazo ni kinyume na uislam hao wanaweza ku-opt wapendavyo)

c. Tunaongelea waislamu walioamini Qur'an na wanataka kufuata sheria iliyoko kwenye kitabu chao hizo za mila (si mila zote zinakatazwa ila mila ambazo haziendani uislam ukizifuata unakuwa umejioondoa katika uislam

d. Makundi mengine kama hayaombi ndio waislamu wakitaka wanyimwa; unajuaje kama wakristo wamerizika na hukumu za state and they don't care..besides mimi si authority kwenye canons law lakini nafahamu hawafuati tena biblia agano la lake lenye sheria ..hizo zingine zinafanyiwa amendments na Vatican kila muda fulani..

In short, Nikiwa mwanasheria mkuu au rais nitasubiri walete maombi na kufanya uamuzi accordingly..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…