Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Kiufupi ni SINGLE MOTHERS πŸ˜…
 
Mwanamke ambae kacheza na wanaume wawili watatu mbona bikra kabisa huyoo mkuu
 
.......hoja ya mtoa mada ina ukweli kwa kiasi kikubwa ingawa lazima tukubali pia sio wote wali-misbehave katika mahusiano, wengine ni utoto, wengine ni mikosi, wengine walikutana na wanaume wasiojitambua, wengine ni mapepo wamefungwa na viapo, wapo waliofiwa..........
........hivyo sio sahihi kusemana au kunyoosheana vidole hata kama upo kwenye ndoa njema bado hujui lini yatakukuta yaoi, Sasa ktk nyuzi kama hizi ambazo zipo offensive Kwa baadhi ya wahanga, niseme tu si vizuri sana kutajana majina au kumtag au kum-cc mtu hata kama unamfahamu kwamba ana changamoto zilizotajwa ktk hoja.......kila mmoja wetu anahitaji faraja na upendo ktkt yale magumu anayopitia regardless ni bahati mbaya au alijitakia(uzembe)..........
 
Halafu na bado wanakuwa na vigezo lukuki.
 
Mwanamke ambae kacheza na wanaume wawili watatu mbona bikra kabisa huyoo mkuu
Tunakoelekea hata alieliwa na 10 atakua anaonekana namba E kabisa kama magari ya japan tunayoletewa. Body count ya madem inatisha sku hizi mtu kapitiwa na watu 30+? Na unataka mume seriously?

Ila tukiacha masihara hili ata sio jambo la kuambiwa mwanamke inakuaje unawavulia wanaume 10 mpaka 20 chupi sio utamaduni wa muafrika halisi huu.. yan katika njemba 5 za mwanzo zote ulikua hujaweka malengo muoane?
 
mambo mazito sana na hali inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…