Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

Sioni tatizo la mtu Kuzaa aisee watoto ni baraka na. Ndoa nayo ni majaaliwa lakini mwisho umemaliza Vizuri ni muhimu kutunza usichanawako
 
Kweli tunashindwa kujisjmamia sana lakin maranying wanaume ndo mnatuangusha bint anaejua huyu nilonae atanioa au lah?wengi tunatumia moyo kufanya maamuz unajikuta unakumbuka kuwa alikuwa na machaguo Saba dhidi Yako na unakuwa ushachelewa
 
Mi nimekuelewa kabisa mkuu.....may Allah bless u cute
 
Waliuchezea usichana wao kwa kufanya umalaya, ulevi, kutoa mimba, kukesha bar, sasa hivi wamelegea mbele na nyuma wanalazimisha kuolewa... Na wengi wao ni single maza wanajifanya wapambanaji kumbe wakijifungia ndani wanalia kwa upumbav walioufanya wakat wakiwa mabinti...
 
Watafute tu watu wa kuwasusia mbususu basi mi nawapenda kweli yani najuwa kuwapa comfort wakuje tu ila kuoa no labda sogea tukae
 
Kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata mume sahihi ni wakati akiwa na miaka 20-25; kutokana na umri huo, wengi kipindi hicho huwa wanachagua chagua aina za wanaume kwa kuangalia sifa za kijinga, tall, dark, 6 packs n.k mwisho wa siku wanaangukia pabaya, na wanaishia bila kuolewa.
 
The best comment ever
 
Ahsante mkuu, among the best comment.
 
Kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata mume sahihi ni wakati akiwa na miaka 20-25; kutokana na umri huo, wengi kipindi hicho huwa wanachagua chagua aina za wanaume kwa kuangalia sifa za kijinga, tall, dark, 6 packs n.k na ndio wengi waliopo sasa wakiwa na miaka 34+ wakitafuta wachumba angalau wanaopumua tu.
 
Punguza spana
 
Usiwasanue bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…